stringerbell
Member
- Feb 19, 2010
- 86
- 0
beki vipi?
mtangazaji anamwagia sifa sana mrisho ngasa na anawashauri westham wamuangalie tena .
ngasa kwakweli ni mzuri anachezea timu gani kule bongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
beki vipi?
mtangazaji anamwagia sifa sana mrisho ngasa na anawashauri westham wamuangalie tena .
Kwa nini Nurdin Bakari ametolewa??
ngasa kwakweli ni mzuri anachezea timu gani kule bongo
Mlioko uwanjani waambieni hao njemba sio basketball hiyo..,teamplay muhimu.wanabutua tu,huyo ni world class goalkeeper sio kipa wa mtibwa.Dar Young Africans ila next season atachezea Azam FC. Alitaka kupewa 30M TZS Yanga wakatoa nje.
jamaa wananizomea hapa ngoja nisepe nikanywe ulabu! Duuu heri sijapoteza 200,000/=
kona zote hizo kwanini hatuwaumizi hata kagoli kamoja?
Mkuu hicho sio kikosi chao kamili hapo kuna Alves yupo nje na wengine wazuri tu,Na brazil huwa wanacheza mpira kutokana na timu inavyocheza.
Hahahaaa nimejikuta nacheka kwa sautiBTW, naombea TENESCO wafenye vitu vyao katikati ya mpambano..he he he..
Nafikiri TV za kulipia nyingi wanaonyesha huu mchezo. Kuna mshikaji wangu aliniambia ataangalia kwenye EUROSPORT 2. Wanafaidi wenye madishi yao na hii ina maana kuwa nchi nyingi wanaangalia ila sidhani kama TV za taifa/Za bure wataonyesha hii mechi.
Wananchi wamefanya safi sana kugomea mechi. Hamna hata tangazo la Mlima Kilimanjaro upo Tanzania, ovyoooo.
Hilo Tangazo la SERENGETI utafikiri limeandikwa kwa kutumia KISAMVU, chafu kabisa na halionekani. Sijui Idiot gani alitengeneza.
Ngasa naona anajiuza safi sana na anacheza na wenzake. Yule mwenye nwele ndefu (kasuka) anacheza kama kalazimishwa. Anajiona MATAWI sana wakati hapo ndani kuna akina KAKA wapo simple na friendly kabisa.
Naona poa tu sikupoteza hela zangu kununua ticket kwenda Dar na kununua ticket ya mpira. Hela ya ticket ntawapa masikini.