Brazil to play Tanzania in a friendly

Brazil to play Tanzania in a friendly

Wabongo wafupi yaani kona inapigwa wote ni wafupi zaidi ya mabeki lol
 
mi nahesabu hata zile za targets on goal! ha haa haaaaaaaaa tunaongoza TZ 8 Brasil 2
 
kona zote hizo kwanini hatuwaumizi hata kagoli kamoja?
 
Dar Young Africans ila next season atachezea Azam FC. Alitaka kupewa 30M TZS Yanga wakatoa nje.
Mlioko uwanjani waambieni hao njemba sio basketball hiyo..,teamplay muhimu.wanabutua tu,huyo ni world class goalkeeper sio kipa wa mtibwa.
 
jamaa wananizomea hapa ngoja nisepe nikanywe ulabu! Duuu heri sijapoteza 200,000/=

ticket za 200,000 zilikuwa sold out tayari kabla bei zijatangazwa rasmi kwa wananchi,inawezekana hela ya walala hoi imetumika tena kununulia hizi ticket kwahio hasara juu ya hasara.

uwanja wetu mzuri mkuu kuliko anfield lol.
 
kufungwa twafungwa lakini twaongoza kwa kona na shoot on target.kwa kwakweli vijana wanatia tamaa wanacheza vizuri lakni beki inataka marekebisho .nilifikiri watakua wanakimbia kimbia kama swala.
 
Nafikiri TV za kulipia nyingi wanaonyesha huu mchezo. Kuna mshikaji wangu aliniambia ataangalia kwenye EUROSPORT 2. Wanafaidi wenye madishi yao na hii ina maana kuwa nchi nyingi wanaangalia ila sidhani kama TV za taifa/Za bure wataonyesha hii mechi.

Wananchi wamefanya safi sana kugomea mechi. Hamna hata tangazo la Mlima Kilimanjaro upo Tanzania, ovyoooo.

Hilo Tangazo la SERENGETI utafikiri limeandikwa kwa kutumia KISAMVU, chafu kabisa na halionekani. Sijui Idiot gani alitengeneza.

Ngasa naona anajiuza safi sana na anacheza na wenzake. Yule mwenye nwele ndefu (kasuka) anacheza kama kalazimishwa. Anajiona MATAWI sana wakati hapo ndani kuna akina KAKA wapo simple na friendly kabisa.

Naona poa tu sikupoteza hela zangu kununua ticket kwenda Dar na kununua ticket ya mpira. Hela ya ticket ntawapa masikini.
 
Halafu uwanja huo mboni mwangaza hafifu? Ndio ujinga wa kuwapa wachina kazi..wataaribu tu mahali.
 
BTW, naombea TENESCO wafenye vitu vyao katikati ya mpambano..he he he..
 
Mkuu hicho sio kikosi chao kamili hapo kuna Alves yupo nje na wengine wazuri tu,Na brazil huwa wanacheza mpira kutokana na timu inavyocheza.

Sio kikosi chao kamili? hicho ndio kikosi kamili cha Brazil isipokuwa golikipa tu kwamba Julio Cesar kaumia. Huyo Dani Alves unayemtaja kwa taarifa yako katika kikosi cha Brazil ni mchezaji wa akiba. Alves hajawahi kumkalisha benchi Maicon. Mara zote kama Maicon sio majeruhi basi ujue Alves atalikalia kwanza, halafu anaingia jioni kabisa tena mara nyingi kama winga wa kulia.
 
Any news concerning Samba vs Stars guys i can't wait to here from you guys plz. tell us
 
Beki wanaogopa kuumiza washambuliaji wa brazil na ndio maana naona tumefungwa kirahisi, mbele wanaonekana kidogo wanashambulia kwa sababu wao si waumizaji . Ndio maana Ngasa anatoka bunduki
 
Nafikiri TV za kulipia nyingi wanaonyesha huu mchezo. Kuna mshikaji wangu aliniambia ataangalia kwenye EUROSPORT 2. Wanafaidi wenye madishi yao na hii ina maana kuwa nchi nyingi wanaangalia ila sidhani kama TV za taifa/Za bure wataonyesha hii mechi.

Wananchi wamefanya safi sana kugomea mechi. Hamna hata tangazo la Mlima Kilimanjaro upo Tanzania, ovyoooo.

Hilo Tangazo la SERENGETI utafikiri limeandikwa kwa kutumia KISAMVU, chafu kabisa na halionekani. Sijui Idiot gani alitengeneza.

Ngasa naona anajiuza safi sana na anacheza na wenzake. Yule mwenye nwele ndefu (kasuka) anacheza kama kalazimishwa. Anajiona MATAWI sana wakati hapo ndani kuna akina KAKA wapo simple na friendly kabisa.

Naona poa tu sikupoteza hela zangu kununua ticket kwenda Dar na kununua ticket ya mpira. Hela ya ticket ntawapa masikini.

TBC wanaonyesha
 
Hii ni ngwala ya Ngassa.dhidi ya Kaka.. I think.. lazima atambe..

Hii ni half time ya magoli mawili aliyotufunga Robinho..

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom