Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
lakini yule keeper wetu bora wangesimamisha mti mle ndani
Kwani kulikuwa na golikipa? Macho yangu yalikuwa yananionyesha kama vile lango liko wazi.wazi si
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini yule keeper wetu bora wangesimamisha mti mle ndani
Tusubiri sasa mahesabu ya mpato yatatolewa baada ya wiki mbili
nia kubwa ilikuwa kutangaza nchi sasa mbona sijaona coverage ya Brazil kufika bongo kwenye vyombo vya habari?
IMO, naona contract ya Wabrazil ni hiyohiyo 2.5, ila tabaka tawala kupitia Kigumu chama cha mapinduzi kinaeza kikawa kinakazia swaumu ile (6-2.5) kwene account yao ya 'mengineyo'..Close call.Abdulhalim, si nchi imetangazwa katika nchi 160 duniani? Sasa tusubiri kuona idadi ya Watalii itakavyomiminika kutoka katika hizo nchi 160. Hii amount waliyolipwa Wabrazil inabadilika kila leo sijui kama tutajua kiasi cha kweli walicholipwa maana tumeshasikia $6 miilion, $3 million na sasa $2.5 million.
Walitangaza kwa mbwembwe, Tiketi daraja la kwanza A zimeisha, na wamshukuru Manji kuwalipia wanachama wote wa Yanga. Ilitakiwa Ticketi zianze uzwa wiki moja iliyopita, halafu jana na leo wangeshusha mzunguuko mpaka alfu 10,000 baada ya kuona mauzo hafifu. Ila ndiyo hivyo tena, poor strategy.Hahaaaaaaaaaaaaa.......Nimefurahi sana leo mie........Tumefungwa mkono(05) na pia mahudhurio yamekuwa hafifu mnoo,dua zngu na wengine zimesikilizwa.....TFF imekula kwao leo.......hahaaaaaaaaa
Hope hili ni fundisho tosha
IMO, naona contract ya Wabrazil ni hiyohiyo 2.5, ila tabaka tawala kupitia Kigumu chama cha mapinduzi kinaeza kikawa kinakazia swaumu ile (6-2.5) kwene account yao ya 'mengineyo'..Close call.
Milioni 300 kwenda juu kwa makadirio ya haraka haraka ukishaondoa watakazoiba.....bado ni hasara tu
Nina hasira za dhati kwa walioandaa hii mechi bila kutangaza vivutio vyetu ipasavyo.Hakuna Kilimanjaro,zanzibar,manyara,ngorongoro,gombe,ruaha....,hyo mjinga aliyeweka tangazo la Serengeti as if liko indoor ana matatizo ya akili.
Ni wakati muafaka hawa wazee wakaondoka sasa na hayo matoto yao yasiyo na kitu kichwani wakayaache yaendelea kupumzika kwenye masofa nyumbani.This was a big opportunity lost.
yani bifu la maximo na kaseja ndio limeenda kutuletea hili kipa kweli kiboko.kama kaseja hana nidhamu basi na maximo pia hana nidhamu kwa kumchagua kipa kama huyu.
hii mechi imetuongezea umaskini kusema kweli.
Eti Golikipa wetu ni mtu wa karibu sana na mkuu Balatamba, Arsene Wenger, masanilo!........ Nilimuona wapi vile?....Yaani as if ndio siku yake ya kwanza kudaka.....
As you said it,viongozi wetu something is missing between their ears.Say it again bro. Kamuulize waziri wa michezo, na yule wa maliasili na utalii, kama vichwa vyao vina hata tone la ubongo. Hii ndiyo mechi pekee iliyoonyeshwa kimataifa na television mbalimbali duniani, badala yake naona hata uwanjani tunatangaza NMB. Mapumziko watu wanatangaza mambo yao binafsi. Ukiuliza utaambiwa hakukuwa na fungu la kuwekea matangazo. Sasa nia ya kutumia bilioni nne ilikuwa ni nini? Hawa wazee washajichokea, hawana lolote tena la maana kwa nchi yetu.
jamaa baada kutangaza utalii kwa kumrudishia ngumi alves anamuangalia tu .
hili kipa dunia ndio imemjua kuliko mlima kilimanjaro sasa.
Maximo bora aende zake tu....Ukiachilia Kaseja pia ana Bifu na Athumani Idd 'Chuji' na Haruna Moshi 'Boban'