Mwambie kabisa kama kuniacha anichane live biashara ya visingizio sio juzi nampigia simu hapokei wala sms hajibu mwambie sitakunywa panadol
Hahahaha. . .ngoja aamke nimfikishie ujumbe wake. Ila ye nae alikia na wasiwasi kwamba ndo ushamtupa kwa karanga za kuonjeshwa.
Nilijaribu hizi busara za kukaachini na kuambiana ukweli. Nilichaambulia ni kuliliwa machozi ambayo kiukweli yalinichoma moyoni pia. Nikajikuta napatashida sana kujirudisha kwake maana i felt so guilt.
Lakini baadae nikaja kugundua the easiest way ni staged silence. Kimya kinachoongezeka eventually.
Its the best way. Never say goodby. Hii ni style ya kibongo sio love story za mbele, sisi hatupo vile. Ni dunia nyingine tofauti ingawaje kunawanao hangaika kuimatate.
....l can tell you wanna leave, just be a man about it.... Toni Braxton
Aisee I prefer kuambiwa once and for all; nami ninakupa ile ya ukweli, ukijifanya king'ang'anizi nakuignore na kukudelete!
Hakuna kitu inauma kama kufanyiwa vituko!
.....umeona ee? Unaachwa "kimsukule!".....yaani hujijui status yako japo yeye ka move on...
Akikuona na mtu anazusha bonge la timbwili, ati yeye hajakuacha...ati bora aue naye ajiue kuliko kuona una mwingine. "Msukule!"
Yaani umeiweka vizuri as if wewe ndiye 'uliyenitendaga' as we say in Kiswahili cha kinyamwezi.
Sipendi mtu anifanyie hivyo kama ambapo sipendi kumfanyia mtu; sasa challenge ni umepata mtu mwingine after that painful relation, how do u avoid kuishi kimachale? Coz Machale yakizidi; penzi halinogi. Au unajilipua tena kwa kuuachia Moyo na kupenda 100% ukisema come what may, lemme enjoy the moment!
Kaazi kweli kweli. Inayokera ni ile ya staki nataka. Mtu anafanya vituko, anapewa notice ya 'intention to kuachwa', anaanza kujisemelesha ooh unaniwazia vibaya tu! Grrrhhh! Hata kama ni ndoa, a man enough should be able to say I think I'm done. And nobody should be forced to explain anything, and everybody should walk away with their dignity, period. And we all know baby come back hazifanyi kazi, history has proved that!
Ila hapo kwenye kumuambia mwanaume mie sikufeel anymore, nimekuchoka! Inabidi ffu wakusibiria nje. Make sure u seat next to the exit manake!
.....hahaha, you have to explain yourself 'diplomatically" mpaka mtaliki wako anaangusha kilio kwanini hukumwambia muachane mapema...
Vituko is the best style,inampa mhanga fursa ya kutosha ku adjust kwenye life without bishanga,haya mambo ya shock and awe (a la joji bush) yanaua jamani.....l can tell you wanna leave, just be a man about it.... Toni Braxton
Aisee I prefer kuambiwa once and for all; nami ninakupa ile ya ukweli, ukijifanya king'ang'anizi nakuignore na kukudelete!
Hakuna kitu inauma kama kufanyiwa vituko!
hebu elezea basi in details, kinagaubaga on how to go about it, please....
Kula tano mkuu,staged silence is the best route to go.Nilijaribu hizi busara za kukaachini na kuambiana ukweli. Nilichaambulia ni kuliliwa machozi ambayo kiukweli yalinichoma moyoni pia. Nikajikuta napatashida sana kujirudisha kwake maana i felt so guilt.
Lakini baadae nikaja kugundua the easiest way ni staged silence. Kimya kinachoongezeka eventually.
Its the best way. Never say goodby. Hii ni style ya kibongo sio love story za mbele, sisi hatupo vile. Ni dunia nyingine tofauti ingawaje kunawanao hangaika kuimatate.
Vituko is the best style,inampa mhanga fursa ya kutosha ku adjust kwenye life without bishanga,haya mambo ya shock and awe (a la joji bush) yanaua jamani.