Breakfast Debate juu ya gesi na Mwanaidi Maajar.

Bulesi

Platinum Member
Joined
May 14, 2008
Posts
14,275
Reaction score
13,929
Katika gazeti la Raia Mwema la tarehe 31/7/2013 kuna makala ya aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania huko Uingereza na marekani kuhusu gesi iliyovumbuliwa nchini. Anatoa mawazo mazuri ya jinsi ya kuepukana na utajiri huu kugeuka kuwa laana ya maliasili !! Anampango wa yeye na taasisi anayofanyia kazi kualika wataalam mbalimbali wa nchini na nje ya nchi ambao watashiriki katika mijadala hiyo ya kifungua kinywa ambayo wachangiaji na michango yao haitatoka nje ya ukumbi wa majadiriano ikiwa na maana coverage ya waandishi wa habari haitaruhusiwa!! Anonymity inayotaka kutumiwa ni sawa kidogo kama JF vile lakini tofauti na JF hawa wenzetu watakuwa ni wateule wachache wanaofahamiana ndio wataalikwa!!! Ingekuwa vyema zaidi na kwa manufaa ya nchi kama zaidi ya hao mtakaowaalika mijadala iwe wazi kwa yeyote atakayejisikia kuja kuhudhulia kwani kuna wananchi wengi wa kawaida msiowajua wenye michango mizuri tu kama ilivyojidhihilisha hapa kwenye janvi la jamii [JF]. Make the Breakfast Debate inclusive!!! Naomba kuwasilisha.
 
Mmmhh sijamuelewa anamaaanisha nini, maana kama anataka kujadili na huku hataki wengine wajue (waandishi) sasa hicho anachokijadili kina maana gani kwa jamii? No No no this is terrible jamani. Haya mgeni mwalikwa ni nani??
 
kwa hiyo kwa kifupi itakuwa forum ya closed group?
Si ndio?
 
Katika gazeti la Raia Mwema la tarehe 31/7/2013 kuna makala ya aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania huko Uingereza na marekani kuhusu gesi iliyovumbuliwa nchini. Anatoa mawazo mazuri ya jinsi ya kuepukana na utajiri huu kugeuka kuwa laana ya maliasili !! Anampango wa yeye na taasisi anayofanyia kazi kualika wataalam mbalimbali wa nchini na nje ya nchi ambao watashiriki katika mijadala hiyo ya kifungua kinywa ambayo wachangiaji na michango yao haitatoka nje ya ukumbi wa majadiriano ikiwa na maana coverage ya waandishi wa habari haitaruhusiwa!! Anonymity inayotaka kutumiwa ni sawa kidogo kama JF vile lakini tofauti na JF hawa wenzetu watakuwa ni wateule wachache wanaofahamiana ndio wataalikwa!!! Ingekuwa vyema zaidi na kwa manufaa ya nchi kama zaidi ya hao mtakaowaalika mijadala iwe wazi kwa yeyote atakayejisikia kuja kuhudhulia kwani kuna wananchi wengi wa kawaida msiowajua wenye michango mizuri tu kama ilivyojidhihilisha hapa kwenye janvi la jamii [JF]. Make the Breakfast Debate inclusive!!! Naomba kuwasilisha.
Mkuu Bulesi, naamini hii ni kufuatia volatility ya gas issue, hivyo the motive behind is to get professional opinion free of media intefiarace then yale mazuri yatakayokubaliwa na serikali yanafanywa inclusive ndipo mnatangaziwa!.

Mfano, kama media itaalikwa then mtaalamu akatoa maoni kuwa nchi so and so zinagesi asili wao mrahaba 50%, Mtwara mrahaba ni 0.03, maoni kama hayo yakiwafika wana Mtwara , kutakalika?.

Naamini kuna wana media wataalikwa for imparting them with information and knowledge kwa conditions ku embargo reporting.

Naming kabisa kama wewe ni interested party, utakuwa umeona room ya namna ya kushiriki by registration kuelezea your area of interest and your professional or experience contribution then utaalikwa ill vivyo vivyo utategemewa ku act professional, not beyond the four walls!, hata jf haitafika kama minutes za cabinet meetings!.

Please do!.
Pasco
 
ha ha ha even the devil was an angel
Its very true, the devil is sometimes an angel!.
Unadhani wahubiri wote wafanya miujiza wanatumia nguvu za Mungu?!. Bwana Wetu Yesu Kristo alituasa, watakuja watu, watatoa mapepo kwa jina langu, wataponya viwete watatembea!, vipofu wataona!viziwi watasikia!, bubu wataongea!, ila sio wangu!.

Kwa yule kipofu atakayeona, kiwete atakaye tembea, kiziwi atakaye sikia na bubu atakaye ongea, kwao hao whoever done that is an angle regardless ni nguvu gani iliyotumia iwe ni ya mwanga au ya giza!, the end justify the means!.
 
Hata Lowassa atatenda MEMA siyo? Hahahahaaa...... Sawa Nkwingwa.
Let's stop these negativity!, kama ilivyo kwa shetani mwanzo alikuwa malaika, na Sauli ndiye Mtume Paulo!.
Shetani pia sometimes huweza kutenda mema!.
 
Kwani aliwahi kutenda maovu?.

Kwenye Richmond yeye alikuwa ni mpagazi tuu au mchukuzi, mwenye mali yupo!.
Hata Mungu Baba, aliwahi kumtoa mwanaye mpendwa wake, anayependezwa naye aje kuuokoa ulimwengu, ili kila amwaminiye, atapata uzima wa milele ambapo ni kwa kupigwa kwake sisi tuliponywa!, vivyo vivyo EL amejitolea kulibeba zigo la dhambi ya Richmond ambapo ni kupitia kwayo, kuna kina fulani wameponywa!.

Kati ya 'mashujaa wakubwa kabisa wa taifa hili, huyu ni mmoja wao kiasi kwamba anastahili tuzo na nishani ya juu kabisa ya Jamhuri ambapo atakabidhiwa rasmi 2015!.
P.
 
Kumbe JK Nyerere alikuwa muongo na mfitini. Nimekupata Mkuu wangu.
Kwani aliwahi kutenda maovu?.

Kwenye Richmond yeye alikuwa ni mpagazi tuu au mchukuzi, mwenye mali yupo!.
Hata Mungu Baba, aliwahi kumtoa mwanaye mpendwa wake, anayependezwa naye aje kuuokoa ulimwengu, ili kila amwaminiye, atapata uzima wa milele ambapo ni kwa kupigwa kwake sisi tuliponywa!, vivyo vivyo EL amejitolea kulibeba zigo la dhambi ya Richmond ambapo ni kupitia kwayo, kuna kina fulani wameponywa!.

Kati ya 'mashujaa wakubwa kabisa wa taifa hili, huyu ni mmoja wao kiasi kwamba anastahili tuzo na nishani ya juu kabisa ya Jamhuri ambapo atakabidhiwa rasmi 2015!.
P.
 
Mkuu Bulesi, naamini hii ni kufuatia volatility ya gas issue, hivyo the motive behind is to get professional opinion free of media intefiarace then yale mazuri yatakayokubaliwa na serikali yanafanywa inclusive ndipo mnatangaziwa!.

Mfano, kama media itaalikwa then mtaalamu akatoa maoni kuwa nchi so and so zinagesi asili wao mrahaba 50%, Mtwara mrahaba ni 0.03, maoni kama hayo yakiwafika wana Mtwara , kutakalika?.

Naamini kuna wana media wataalikwa for imparting them with information and knowledge kwa conditions ku embargo reporting.

Naming kabisa kama wewe ni interested party, utakuwa umeona room ya namna ya kushiriki by registration kuelezea your area of interest and your professional or experience contribution then utaalikwa ill vivyo vivyo utategemewa ku act professional, not beyond the four walls!, hata jf haitafika kama minutes za cabinet meetings!.

Please do!.
Pasco

Mimi concern yangu sio kutoalikwa waandishi wa habari bali wananchi wengine ambao REX Attorneys hawawafamu lakini wanaweza kuwa na mchango sawia na ndio maana nikasema mjadala uwe wazi kwa yeyote atakayedhani anaweza kuchangia kwenye hiyo BREAKFAST debate!! Nielewe ninaposema inclusive I do not mean kuwa hayo yatakayozungumzwa humo ni lazima yaandikwe kwenye magazeti la hasha!!! Humu JF we are inclusive kwani watu wanachangia bila kufahamika lakini hoja zinachanua na hao wenzetu wakitaka watu wachangie mambo ya gesi wawe na hiyo anonymity kama ya JF lakini wawe inclusive; ama sivyo watakuwa wale wale wanaalikana kila siku kwenye makongamano yao na mwisho wa siku mapendekezo yao ni yale yale mkulu anayotaka wamwambie hivyo hiyo breakfast debate inakuwa forum ya kutokea!!!
 
AXIS OF EVIL: TANESCO/Mkono Advocates/Rex Attorneys/IPTL/Richmond/Dowans
 
Huyu mama ana wa set-up Watanzania!!. Anataka hizi kampuni za uwekezaji ziende kwenye kampuni yao ya Law na ndiyo maana anataka kufanya mkutano ili watu wasijewakasema ni fisadi lakini kwanini waandishi wa habari hawaruhusiwi?. Kwa kifupi anataka kuwaambia wawekezaji njooni kwangu mimi na kampuni yangu tunaaminiwa na wananchi na tutafanya siri!!!. Wanaona wateja hawaji kwao wanajaribu kudanganya watu kwamba nia ni kusaidia Watanzania lakini nia yake ya kwenye ni biashara tu. Mikataba ya umeme mibaya yote ya Tanesco imesainiwa na hii kampuni wakati huohuo serikali ilikuwa inawalipa kwenye kesi nyingine. Ni bora Mkono kuliko hawa
 
Huyu mama ni clean na sio fisadi
 
Let's stop these negativity!, kama ilivyo kwa shetani mwanzo alikuwa malaika, na Sauli ndiye Mtume Paulo!.
Shetani pia sometimes huweza kutenda mema!.

shetani tutenda wema , unanikumbusha ILLUMINATI
 
Back
Top Bottom