Ukisikia ujentromani basi hiki ni kisehemu kidogo cha ugentleman wenyewe.. Baada ya kit..mbo heavy cha usiku kucha, asubuh umefanikiwa kuwahi kuamka unaingia jikoni unamtayarishia bibie madikodiko, unampelekea kwa bed anapata staftahi, unamchukua mnaenda bafuni mnakoga, km nguvu unazo za kuvukia bahari unapiga kingine bafuni mkitoka mpo uzani mdogo. Kisha ratiba nyingine zinaendelea..
Sio uempelekea moto mtoto wa watu usiku kucha kisha asubuhi umewahi kuamka ila hufanyi chochote unamsubiri yeye ndio aamke akifanyie kila kitu, ni uonevu wa ISO.