Breakfast in Bed....

Hahaha kwa hiyo sie ni sawa na wanasheria wasioji-update sheria mpya wanabaki na zilezile za 1977.

Hili linipite bwana. kama ni kutuchukulia wenza wetu wabebeni tu.
 
Kweli Dunia inabadilika na kila kitu sio teknolojia tu Mapenzi na mengineo.

basi Nina u-conservative fulani...acha nibakie kwenye huu uzi nijifunze.
Unaweza kuwa hufanyi hivi ila unafanya vitu vingine romantic.
 
Kama mmekutana wote ni wacheshi na mna utani mwingi usio kuwa na maudhi inawezekana kabisa ukamuhudia kwa aina hiyo hata zaidi ya hivyo
 
haha uncle acha hizo, eti amekakamaa
 
Wanaamka wanaoga wanaswaki kisha maigizo yanaanza au wanakula hawajaoga hawajaswaki? Samahani kwa ushamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…