Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Hahaha kwa hiyo sie ni sawa na wanasheria wasioji-update sheria mpya wanabaki na zilezile za 1977.Hili linachangia kiasi kidogo mkuu lakin kwangu halina nafsi sikubahatika kuishi na baba na mama nikiwa na akili zangu timamu, baba kavuta mie bwamdogo mnoo, mama nae hakuniletea baba mwingine mpaka utu uzima wangu, ila haya ni mambo ya kujiongeza katika kuitafuta hasa ile raha ya mapenzi,
Hivi mkuu unajisikiaje pale unapompelekea mtu moto, mwenzako anafika mahala husika, jibu moja kwa moja huwa kuna raha unaipata kwa kumuona umemfikisha mwenzio kunako, basi ni kitu kile kile huwa najisikia raha kumfanyia mwenzi wangu mambo mazuri yanayomfurahisha bila kunikarahisha mie.
Hili linipite bwana. kama ni kutuchukulia wenza wetu wabebeni tu.