Breakfast in Bed....

Breakfast in Bed....

Naweza ila wanawake wakufanyiwa hivyo siku hizi hawapo
Wee fanya lakini jiandae kuua au kujiua...

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kwanini uue?

Mkuu, haya mambo ni habits zinazojijenga kidogo kidogo mpaka zinakua sehemu ya maisha. Binafsi hua naipata furaha yangu kwa kufanya wale walio karibu na mimi wafurahi.

Back in days, nilikua naingia jikoni napika msosi wa familia nzima. Meanwhile, dadaangu anakua ameshika remote anaangalia tamthilia. Furaha yake haikua na kipimo.

Kama mwanamke akiamua kukucheat atakucheat whether you care for her or not. Good thing ni kwamba unafanya haya cause it's your habit, na sio kumzuia asichepuke!

It is an art of being good without expecting any payback!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hahaha kwa hiyo sie ni sawa na wanasheria wasioji-update sheria mpya wanabaki na zilezile za 1977.

Hili linipite bwana. kama ni kutuchukulia wenza wetu wabebeni tu.
Umenitabasamisha hapo mwisho masai wewe
 
We nae wa wapi?

Its called romance. Mfano after a heated night and you know that after what you did to your girl, her legs can barely walk....😜😜. So you decide to make is up to her before you go at it again. Lol. Or as a token of appreciation.

What is romance to you?
Bad mom lol
 
Abadani asilani huwa naandaa hako katrey ikifikia zamu ya kukabeba kumpelekea mawazo huwa yanakuja labda kuna bwege flan nje anajichapia basi naviteremsha kimoja kimoja naweka mswaki na dawa nampelekea kwnye kitray
Kwa nini mtu unakuwa kwenye mahusiano afu unamuwazia mwenzako mabaya? Hivi kuna raha kweli ya kuishi na mtu kimachale machale?
 
Kila mtu na mawazo yake, kama unaona unadanganywa juu yako. Tupo tulioridhika na maisha yetu jinsi tulivyo. Nyinyi subirini muwe matajiri ndio muinjoi life au kama ndio matajiri injoini maisha yenu.
Ukisoma comments unaweza hisi wanaume wote kwenye mahusiano are loaded na wanahudumia kweli their women. Kumbe hata kina bwana maarifa wanaenjoy tu ndoa, japo from Jan to Dec ni "mke wangu fanya maarifa basi".
 
Back
Top Bottom