Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shauri yakoMore than ever...
Hahaha,hapanaUnazipendaga hizi kazi eehh?
Jamaa kakosa goli yy na kipa,RRONDO unaniangusha mkuu,enzi zangu uwanja wa msasani magunia,au mwananyamala,unanikuta kwenye kibendera [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bado unahitaji VAR?
Wewe nakuelewaga sana sijui kwanini [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Shauri yako
Hahaha [emoji119] [emoji119]Naona unalipiza vya jana...🙂🙂🙂
Siwezi.Nataka niwaone mnaoweza, nijichagulie.....
Karibuni sana
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Ishakuangukia sasa Mr. Romantic
Kwanini uue?Naweza ila wanawake wakufanyiwa hivyo siku hizi hawapo
Wee fanya lakini jiandae kuua au kujiua...
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Umenitabasamisha hapo mwisho masai weweHahaha kwa hiyo sie ni sawa na wanasheria wasioji-update sheria mpya wanabaki na zilezile za 1977.
Hili linipite bwana. kama ni kutuchukulia wenza wetu wabebeni tu.
Bad mom lolWe nae wa wapi?
Its called romance. Mfano after a heated night and you know that after what you did to your girl, her legs can barely walk....😜😜. So you decide to make is up to her before you go at it again. Lol. Or as a token of appreciation.
What is romance to you?
Okay sikuchukuiSiwezi.
Ha ha ha yaani mimi Bushoke?
Kwa nini mtu unakuwa kwenye mahusiano afu unamuwazia mwenzako mabaya? Hivi kuna raha kweli ya kuishi na mtu kimachale machale?Abadani asilani huwa naandaa hako katrey ikifikia zamu ya kukabeba kumpelekea mawazo huwa yanakuja labda kuna bwege flan nje anajichapia basi naviteremsha kimoja kimoja naweka mswaki na dawa nampelekea kwnye kitray
Ahsante, naomba basi mwaliko this weekendMimi nikikualika ghetto misosi ni juu yangu, kazi yako ni kula tu. Hata vyombo ukiona shida naosha mwenyewe.
Ukisoma comments unaweza hisi wanaume wote kwenye mahusiano are loaded na wanahudumia kweli their women. Kumbe hata kina bwana maarifa wanaenjoy tu ndoa, japo from Jan to Dec ni "mke wangu fanya maarifa basi".Kila mtu na mawazo yake, kama unaona unadanganywa juu yako. Tupo tulioridhika na maisha yetu jinsi tulivyo. Nyinyi subirini muwe matajiri ndio muinjoi life au kama ndio matajiri injoini maisha yenu.