Ndiyo vinini hivyo sasa...kwenye maisha yangu ya kila siku haviwezekani. Yaani huyo mwanamke wa kuletewa chakula kitandani anaumwa! au mwanaume wa kuketewa chai kitandani amekakamaa mwili au vipi!Kwanini?
Kupika najua tena saana tu...ila siwezi kufanyaHujui kupika?
Nipo tofauti na mapenzi ya hivi.Kwa mbali naona hili jibu liko kinyume
YesKila siku haipendezi...jumapili fulani hivi
Hahaha bora umejisemea ukweli mkuuKwa siku ya kwanza naweza ,ila siku zingine nitasahau tu
Tenda wema uende zako...ukitegemea malipo kwa kila ufanyacho utapata maumivu tu. Play your part.hizi muvi ndio zimetufikisha hapa tulipo, unaweza fanya hvyo halafu mpokeaji asikupe credit yoyote....akakuona sio mbunifu wala nini ni MuigizaJi tu
Better be yourself, do ur thing in your own ways...and things will be awesome..
Huwa naambiwa saana ninavyoonekana ni tofauti.Haupo romantic
Duh....Ndiyo vinini hivyo sasa...kwenye maisha yangu ya kila siku haviwezekani. Yaani huyo mwanamke wa kuletewa chakula kitandani anaumwa! au mwanaume wa kuketewa chai kitandani amekakamaa mwili au vipi! Kupika najua tena saana tu...ila siwezi kufanya
Nipo tofauti na mapenzi ya hivi.
Nyingi. Sio hii tuDuh...unaendekeza mila zote au hii tu?
Tenda wema uende zako...ukitegemea malipo kwa kila ufanyacho utapata maumivu tu. Play your part.
Oyaaa haupo romantic kabisa