Breakfast in Bed....

Breakfast in Bed....

hizi muvi ndio zimetufikisha hapa tulipo, unaweza fanya hvyo halafu mpokeaji asikupe credit yoyote....akakuona sio mbunifu wala nini ni MuigizaJi tu

Better be yourself, do ur thing in your own ways...and things will be awesome..
Tenda wema uende zako...ukitegemea malipo kwa kila ufanyacho utapata maumivu tu. Play your part.
 
Ndiyo vinini hivyo sasa...kwenye maisha yangu ya kila siku haviwezekani. Yaani huyo mwanamke wa kuletewa chakula kitandani anaumwa! au mwanaume wa kuketewa chai kitandani amekakamaa mwili au vipi! Kupika najua tena saana tu...ila siwezi kufanya
Nipo tofauti na mapenzi ya hivi.
Duh....
 
Tenda wema uende zako...ukitegemea malipo kwa kila ufanyacho utapata maumivu tu. Play your part.

ndio maana mkuu nimesema

Be youself en do things in your own way...hapo hutakuwa una play ur part?
 
Kama ananipa mchezo safi mautundu yote anayaonesha kwanini nisifanye hivyo
Nguo nitamfulia na vyombo nitamuoshea bila kusahau kufyagia
 
Back
Top Bottom