Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Jingaaa. Kwahiyo unamlisha ng'ombe majani ili umkamue vizuri eeh
Wewe na mimi tunajua wapi tutaenda ku-practice hii kitu.
Nishafungua account ya vacation.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jingaaa. Kwahiyo unamlisha ng'ombe majani ili umkamue vizuri eeh
Huachiiii muoneYou are beautiful...
Ngoja nitafute hela X Mass twende mahali nikufanyie mambo hayo.
Una passport?
Hahahaahaaaa.. tutaenda wapi? Visiwanj, bagamoyo au Magoroto? Tunajipanga Nyerere day twende Magoroto wenzio. Wale wale tuloenda DomWewe na mimi tunajua wapi tutaenda ku-practice hii kitu.
Nishafungua account ya vacation.
Nah!Same thing.
Hamna sifanyiwagi, ndo nipo kwenye huu Uzi natafuta broHuwa naambiwa saana ninavyoonekana ni tofauti.
Kwa hiyo wewe huwa unafanyiwa hivi ?
Unaelewa maana ya kuswaki?KWAIYO ANAMSHINDILIA HAYO BILA HATA KUSWAKI JMN...AU KUSWAK NI BAADA YA KUBUGIA
Cc Heaven SentI love cooking, so i won't mind saving her breakfast on bed once in a while!
Sioni shida iko wapi?
HapanaHuyo kwenye avatar ni wewe?
Evelyn SaltInawezekana tu mkuu na kwani shida ni nini?
Kwanini? avatar sio za kweli lakini zina reflect uhalisia so u can judge thru tToo bad...