Breakfast in Bed....

Breakfast in Bed....

Kwanini uue?

Mkuu, haya mambo ni habits zinazojijenga kidogo kidogo mpaka zinakua sehemu ya maisha. Binafsi hua naipata furaha yangu kwa kufanya wale walio karibu na mimi wafurahi.

Back in days, nilikua naingia jikoni napika msosi wa familia nzima. Meanwhile, dadaangu anakua ameshika remote anaangalia tamthilia. Furaha yake haikua na kipimo.

Kama mwanamke akiamua kukucheat atakucheat whether you care for her or not. Good thing ni kwamba unafanya haya cause it's your habit, na sio kumzuia asichepuke!

It is an art of being good without expecting any payback!

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Aaaaaaah -KANA- weeeee. Yani navyopenda raha jamani teh, kukaa na mwanaume mwinyi nafwaaaaz
 
Back
Top Bottom