Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh hio olympic ndio ipi?Kumbe ndo hio Olympic breakfast
siku hizi na skip sana breakfastBreakfast is the most important meal of the day. Kula ushibe asubuhi hata kama budget yako imekaa kula mihogo au viazi au kiporo cha jana ila hakikisha umekula asubuhi.
Ukisikiliza huo ujinga ukipewa pussy kimoja cha sekunde chali....Kiuhalisia kama hufanyi kazi za jasho au nguvu hupaswi kupata breskfast, ikiwa utapata iwe chai kavu bila wanga. Tumuunge mkono Dr Janabi kupunguza magonjwa yasio ambukiza.
Hii ngoja niirudie kusoma TenaMie mama wa nyumbani ratiba yangu ni hii
Jumatatu napika mkate wa ufuta na maziwa
Jumanne : viazi vya kukaanga kachumbari na chachandu
Jumatano: mihogo mixer viazi na karanga za kuchemshwa
Alhmisi : maandazi na rost inategemea mzuka wa siku hiyo
Ijumaa : kiporo cha maharage na wali sababu alhamisi nina ratiba ya kupika maharage, kunde au choroko
Jumamosi: supu ya sangara na ndizi
Jumapili : supu ya kuku na viazi vya kuchemshwa tunachovya na mbegu za ufuta au mbegu za maboga zinakaangwa zinatwangwa utamu wake ni balaaa.. Mwanangu mmoja hapendagi hiyo mixer so huwa natoa kipande cha kuku namkaangia na viazi na kachumbari.
Mhhh hio olympic ndio ipi?
English breakfast
eggs
sausages
bacon
baked beans
toast
juice
tea/coffee
Mkuu mbona umenihusisha na comment ya RRONDO ?
Kwanini mkuu? Kiafya Breakfast ni muhimu zaidi kuliko hata Lunch na Dinner.I normally don't have breakfast
Sijui kwann nakuwa more energised nisopopata breakfast.....Kwanini mkuu? Kiafya Breakfast ni muhimu zaidi kuliko hata Lunch na Dinner.