Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Mimi natengeneza smoothie ya mchanganyiko wa matunda, korosho ,almond na tangawizi. Kama leo ni ya embe, papai almond, korosho na tangawizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa ngoja niendelee kusoma comments mieWataje.
😀
Acha kunywa vinywaji vya kipuuzi puuzi ambavyo vitakuletea matatizo makubwa ya kiafya.andazi la bakhressa na kishushio energy drink.
Mimi chochote kilichopo mbele yangu hata kipolo Cha ugali!Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali.
Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa sasa ndo ipo on chart bila kuchoka Maharage na Juice ya passion. Kwanini kwanza navikubali vitu hivo
Juice ya Passion ina vitamini C nyingi, ambayo ni antioxidant inAsaidia kulinda mwili .Vitamini C inaongeza kinga ya mwili, mwili unanyonya madini ya chuma zaidi kutoka kwa vyakula vinavyotokana na mimea, so juice yangu hio inaboresha uwezo wa mwili wa kupambana na maambukizi mwilini.
Ukija kwenye cassava hapo una kalori nyingi na wanga nyingi na vitamini na madini pia. Na wenyewe una vitamini C, thiamine, riboflauini n. k ingawa Kati ya muhogo na kiazi kitamu ambacho kipo juu Kwa nutrients ni kiazi kitamu.
Maharage hapo ndo penyewe sasa uhakika kwenye Protini ambayo ni kirutubisho muhimu kutengeneza mwili pamoja na folate. Maharage ni mazuri mnoooo Kwa afya ya moyo.yanapunguza hatari ya saratani,kisukari na mwisho kabisa hayana cholesterol.. Me daima nitakula Maharage hakuna cha vidonda vya tumbo wala kiungulia. Me nayatandika Mpaka mwisho.
Tubadilishane uzoefu we unakula nini asubuhi mara nyingi nyingi.
Ugali na mboga iliyobaki usiku! Serious! Kiporo kilichobaki usiku ndo nakipiga asubuhi nasindikiza na energy xtra ya mo!Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali.
Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa sasa ndo ipo on chart bila kuchoka Maharage na Juice ya passion. Kwanini kwanza navikubali vitu hivo
Juice ya Passion ina vitamini C nyingi, ambayo ni antioxidant inAsaidia kulinda mwili .Vitamini C inaongeza kinga ya mwili, mwili unanyonya madini ya chuma zaidi kutoka kwa vyakula vinavyotokana na mimea, so juice yangu hio inaboresha uwezo wa mwili wa kupambana na maambukizi mwilini.
Ukija kwenye cassava hapo una kalori nyingi na wanga nyingi na vitamini na madini pia. Na wenyewe una vitamini C, thiamine, riboflauini n. k ingawa Kati ya muhogo na kiazi kitamu ambacho kipo juu Kwa nutrients ni kiazi kitamu.
Maharage hapo ndo penyewe sasa uhakika kwenye Protini ambayo ni kirutubisho muhimu kutengeneza mwili pamoja na folate. Maharage ni mazuri mnoooo Kwa afya ya moyo.yanapunguza hatari ya saratani,kisukari na mwisho kabisa hayana cholesterol.. Me daima nitakula Maharage hakuna cha vidonda vya tumbo wala kiungulia. Me nayatandika Mpaka mwisho.
Tubadilishane uzoefu we unakula nini asubuhi mara nyingi nyingi.
Tupe mwongozo wa breakfast yako love mie mihogo, magimbi, viazi vitamu 🤠😊!
My breakfast is kukukula mate 💕Tupe mwongozo wa breakfast yako love mie mihogo, magimbi, viazi vitamu 🤠😊!