Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

Aiseeh chai Mimi sinywi Huwa nachukua nyanya mbichi,kitunguu,pilipili kidoogo hoho,embe,tango, carrot,limao,

vinaoshwa kwa maji Safi vina katwa katwa Kisha vina liwa Kama kachumbali

Baada ya Hapo niku nunua chupa za maji mpaka jioni inakuwa ni kazi kazi
 
Mimi chochote kilichopo mbele yangu hata kipolo Cha ugali!
 
Ugali na mboga iliyobaki usiku! Serious! Kiporo kilichobaki usiku ndo nakipiga asubuhi nasindikiza na energy xtra ya mo!
 
Utaelewa nikikuambia manaa mie ni sausage, maharage , bacon na mayai, na mkate wa brown bread plus chai ya maziwa . Ila maziwa ni ya kilimanjaro fresh. Mara ingine sausage mayai, kiporo . Inatagemea nimeamua nini mara ingine chapati mayai , mar ingine kuku ma chipsi mar ingine kama kazi ya shamba imeanza hadi mchana nitakula chipsi kavu na mishakaki yote ya kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…