Breaking bad: TV show bora kabisa kuwahi kutokea

Nimeangalia season 1 nzima sijaona maajabu au kwa sababu nimeamgalia sana series za madawa ya kulevya
 
Juakali, ni series kali ya kitanzania ambayo kila ninapopata kuitazama basi ni mtu analia, imejaa machozi mpka tv yang inaloa, ni juzi tu fundi ametoa karibu lita 2 za machozi.
 
Nimeangalia season 1 nzima sijaona maajabu au kwa sababu nimeamgalia sana series za madawa ya kulevya

mkuu BB ina characters development yakuvutia sana tofauti na series zingine za kimafya ambazo tayari wahusika wanakua manguli wa biashara hiyo

Walter anaanza kama mwalimu wakawaida kabisa....... halafu taratibu anaanza kuingia na kuja kuwa nguli wa hatari
ni kweli mwanzoni inaweza kukukata stimu lakini endelea mbele utakuja kupenda jinsi alivyokuja kuwa
 
Ngoja nijikaze nicheki ya pili
 
Back
Top Bottom