suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,073
Asante mkuu. Ilibidi jana niichukue baada ya kelele nyingi humu ndani.Wazungu watakuwa na matatizo ya akili na bila shaka itakuwa mambo ya kibiashara ndo maana hiyo Breaking Bad ipo hapo.
Hiyo Series ni Series ya kawaida sana,ilinilazimu niiangalie Mwanzo hadi Mwisho kuona ambacho watu wanaipendea lakini hakuna chochote!.
Zipo Series kali na nzuri kutoka huko America lakini si Breaking Bad
Nasema hivi Najutaaaa