Breaking bad: TV show bora kabisa kuwahi kutokea

Wazungu watakuwa na matatizo ya akili na bila shaka itakuwa mambo ya kibiashara ndo maana hiyo Breaking Bad ipo hapo.

Hiyo Series ni Series ya kawaida sana,ilinilazimu niiangalie Mwanzo hadi Mwisho kuona ambacho watu wanaipendea lakini hakuna chochote!.

Zipo Series kali na nzuri kutoka huko America lakini si Breaking Bad
Asante mkuu. Ilibidi jana niichukue baada ya kelele nyingi humu ndani.

Nasema hivi Najutaaaa
 
Baadae mkikaa kwenye kijiwe cha JF mnasema wasanii wanaharibu maadili kumbe nyie ndiyo wa wakanza kuharibu maafili
1. Breaking Bad - Uuzaji wa madawa ya kulevya
2. Game of throne - Ngono za wazi wazi
3. Money heist - Wizi na ujambazi
4. Yellow jackets - Usagaji na ushoga
5. Strike back - Ushoga, ngono
Nilishindwa hata kuangalia

Mkuu kutazama kwako kote GOT wewe umeona usagaji na ngono??

Kuna kitu kina miss kwenye ubongo wako.
 
Sawa. Kwako ngono siyo shida
Angalia hiyo GOT ukiwa na watoto wako, mke wako, mama yako mzazi na ndugu zako wengine kwasababu ni series nzuri itawapendeza sana.
Unaangalia porno halafu unajifariji na kujiona wewe ni mjanja sana😁😁😁😁
 
Sawa. Kwako ngono siyo shida
Angalia hiyo GOT ukiwa na watoto wako, mke wako, mama yako mzazi na ndugu zako wengine kwasababu ni series nzuri itawapendeza sana.
Unaangalia porno halafu unajifariji na kujiona wewe ni mjanja sana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mkuu kwani kuzagamuana kuna shida gani? Kila binadamu unaye muona ametokana na tendo hilo
Kuzagamuana sio dhambi wala sio matusi wala sio kukosa heshima..... ni jambo lenye RAHA na TAMU kuliko matendo yote[emoji23][emoji23][emoji23]
Baba na mama yako walizagamuana ukapatikana wewe kama ambavyo baba na mama yangu walivyozagamuana nikapatikana mimi
Kinachotakiwa ni kwamba jambo lifanyike kama tulivyotamadunishwa
Hata wewe huwezi kumzagamu mkeo sebuleni na watoto na house girl yupo pale

Una akili timamu unatakiwa ujue kitu gani ufanye ukiwa wapi na kwa wakati gani
kama huwezi kumzagamua mkeo sebuleni na familia basi pia usiangalie porn sebuleni na familia......
 
1. Kwahiyo na sisi Tanzania tujenge Pleasure house (Danguro)?
2. Unaonaje na sisi Movie na Series zetu ziwe na maudhui kama game of throne Usagaji, ushoga na kufanya ngono kwa ujumla? maana haiathiri kwasababu unachotakiwa kuangalia ni ujumbe tu mambo ya ngono unayaacha pembeni
 
Wazungu watakuwa na matatizo ya akili na bila shaka itakuwa mambo ya kibiashara ndo maana hiyo Breaking Bad ipo hapo.

Hiyo Series ni Series ya kawaida sana,ilinilazimu niiangalie Mwanzo hadi Mwisho kuona ambacho watu wanaipendea lakini hakuna chochote!.

Zipo Series kali na nzuri kutoka huko America lakini si Breaking Bad
Inaonekana umezoea sana kubisha, kiasi kwamba unabishia hadi Data.

Yawezekana ikawa sio aina za movie unazopendelea, lakini haibadili fact kwamba ni movie nzuri kwa walio wengi.

Mfano, kwangu Mimi sijawahi kuielewa Game of Thrones, lakini huwa sishangai kuona majority wanaipraise.
 
Friends is the best tv show of all time
 
1. Kwahiyo na sisi Tanzania tujenge Pleasure house (Danguro)?
2. Unaonaje na sisi Movie na Series zetu ziwe na maudhui kama game of throne Usagaji, ushoga na kufanya ngono kwa ujumla? maana haiathiri kwasababu unachotakiwa kuangalia ni ujumbe tu mambo ya ngono unayaacha pembeni

Hujaelewa mantiki yangu mkuu
 
Breaking bad ni series iliyokamilika kuliko series yoyote ile director Vince Gilligan ni mtu haswaa
 
Breaking Bad ilikuwa poa. Ila Mimi binafsi series zangu Bora ni :
1. Leverage
2. Prison Break
3. Lupin
4. Burn Notice
5. Psych

Wengine kama GoT, the Mentalist, the Blacklist, Brooklyn nine nine, etc ndiyo wanafuata
 
Asante mkuu. Ilibidi jana niichukue baada ya kelele nyingi humu ndani.

Nasema hivi Najutaaaa
Eti unajuta??
Tuliza akili cheki series vizuri Kama huelewi dialogue tafuta subtitles wewe umeangalia vi episode viwili halafu unalalamika???
 
Back
Top Bottom