NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
Sasa ambao tumepata Scholarship kwenda kusoma nje masomo yanaanza April tufanyeje... Matahira hao haiwacost wanatuamulia tu.. Sasa hii nafasi ntaipata tena lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani we upo form ngapi? ili tujadiliane vizurikuanzia mwaka 2013 mtihani wa kumaliza elimu ya kidato cha sita utafanyika mwezi mei na ule wa kidato cha nne utafanyika mwezi novemba, je kama mwana jamii forums unafikiri mabadiliko haya yanaweza leta tija katka elimu ye2, pia waliobadilisha enzi zile na kuleta mihula mipya walifikiri sawasawa au ndo matokeo ya sera za liwalo na liwe? Je elimu ya tz itaendelea kuyumbishwa mpaka lini.? Tutafakari kwa kina. Naomba kuwasilisha wakuu