Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,345
Tajiri la kihaya hapa mjini Bishanga, leo asubuhi aliwaita waandishi wa habari na wajumbe wa bodi yaTIC wakutane nae ofisini kwake posta.Huku akijiandaa kutoka kwake masaki na vogue sport gari ya mfanyakazi wake wa ndani.katika ofisi yake ambayo tulilakiwa na secretary wake ladydoctor ambaye kwa maneno ya Bishanga anamlipa USD 4500 kwa mwezi na usafiri mark X amempatia na ndio mfanyakazi anayelipwa pesa ndogo katika kampuni yake aliyoajili zaidi ya watu 400.alipofika ofisini Bishanga aliiangalia saa yake ya dhahabu ambayo aliinunua new york yenye madini ya dhahabu tupu ya thamani ya USD 120000,ama takribani millioni 200 za kitanzania.alipoinua soksi zake ambazo zina nakshi ya dhahabu ambayo alipewa zawadi na billy gates baada ya kumpelekea pesa kwa ajili ya kumsaidia billy gates katika foundation yake(hakuweka wazi ni kiasi gani). Tajiri la kihaya Bishanga hakuishia hapo bali alitoa leso ambayo kwa maelezo yake alipewa na obama alipokwenda marekani ambapo alidai mtoto wa obama anasoma darasa moja na mtoto wake.
Baada ya hapo alitoa tshirt ya chama cha bluu na kudai kuwa ndiye aliyegharamia tshirt zote za mgombea urais wa wakati ule 2010 ambaye sa hv yupo madarakani.pia alitoa risiti ya oilcom kuonyesha malipo ya mafuta kwa ajili ya helkopta ya aliyekuwa mgombea wa upinzani akidai kipindi chote cha kampeni yeye ndiye aliyegharamia mafuta ya helkopta za M4C.
Akitoa maelezo jinsi alivyojenga barabara kuelekea kijijini kwao huko bukoba inasadikika alijenga zaidi ya km 50 za lami,na kwa km 1 ya lami inagharimu billioni 1 ya kitz.akitoa peni yake kutoka katika suti yake aliyopewa zawadi na queen Elizabeth kwa kusupport gharama za kuandaa mashindano ya olympic jijini london,inasadikika anamiliki viwanja 3 vya kimataifa vya mpira nchini uingereza.hiyo peni alidai ndiyo waliandikishiana mkataba na tajiri wa mexico carlos slim Heru alipokuja kumuomba msaada wa kipesa kuwekeza katika sekta ya mawasiliano nchini marekani chini ya mwanasheria Mkono & co advocates.
Akimjibu prof muhongo,tajiri Bishanga amesikitika kwa kauli hiyo ambapo alidai hizo biashara za matunda na mbogamboga wanazifanya ndugu zake waliokataa kwenda shule baada ya kuwapa mtaji. Akionyesha jezi ya timu ya barcelona na kuonyesha nembo ya kampuni yake baada ya kuingia mkataba wa kuidhamini timu ya FC barcelona kwa kipindi cha miaka 5. Akituaga kwa kutuambia anawahi private jet yake ambayo alimnunulia mke wake The secretary ila aliikataa kwa kuwa ni boeing .
Na mwandishi wetu
Madame B Arushaone Lady doctor mimisa Mamndenyi The secretary Judgement

Last edited by a moderator: