Felixonfellix
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 1,672
- 183
Mbona hela kidogo kwa Al-kaida hiyo!!!!?? Ha ha ha!!! Acha waendelee kula punje za jela!!! Tena ningekuwa hakimu ningesema kwa sababu ya kiusalama hawataruhusiwa kuletewa chakula toka nyumbani!!! Chezea serikali weye!!
Pweza hujipalilia mkaa mwenyewe.
Ukiona Serikali inaogopa raia zake, ujuwe Serikali ina matatizo makubwa.
Pweza hujipalilia mkaa mwenyewe.
Ukiona Serikali inaogopa raia zake, ujuwe Serikali ina matatizo makubwa.
Ndiyo mkuu ni vema pia kujua washirika wao wa karibu!Masharti hayo ya wadhamini wawe ni watumishi wa serikali halafu tena barua toka kwa mwajiri hilo limefanywa makusudi ili watumishi wataojaribu kuwadhamini waonekane nao ni uamusho na kuangaliwa na macho mawili!!!!
Shughuli ni wadhamini wanaofanya kazi Serikalini. Mfanyakazi gani mwajiriwa wa Serikali anaweza kujiingiza kichwa kichwa? Labda Mawaziri wa SUK kama Jusa, Bimani, Duni Haji na Maalim Seif mwenyewe.Mbona masharti ya kawaidia jamani hayo, ugumu wake ni hizo milioni tatu? sijaelewa kabisa hapa
Ha ha ha.. Mkuu huchoki kunishangaza.. Hii ni serikali ya ccm ambayo kutwa kucha waongoza kwa kuitetea hapa FJ..! Unless.. Mh when u'r forced to choose..
Siwezi kuwa muungwana kwa watu wabaya wanaopandikiza mbegu ya hatari katika nchi. Watu hawa ni wa kuogopa kama ukoma.Mtu mwenye akili timamu huwezi kufanya mambo yanayofanywa na hawa watu. Kwanza wanamuonekano wa kigaidi.Si watu wema hawa ! Je mnajua madhara ya watu kama hawa wakiachiwa waendelee hivi hivi. Tunayo mifano mingi ya kujifunza, Hitler alianza hivi na watu wakimshangilia ,angalia maangamizi aliyofanya. Wafuga ndevu Matalibani, Osama, alshababu , boko haramu , wote mijahidina imelete vurugu duniani.
Hawa watu ni wa kufunga jiwe shingoni na kutumbukiza baharini wakutane na baba yao Osama