Breaking News:- Viongozi wa Uamsho wapewa dhamana

Breaking News:- Viongozi wa Uamsho wapewa dhamana

sheria inasemaje kwa masharti ya dhamana???
nadhani Maalim Seif ajitokeze kuwadhamini tu.
 
Mbona hela kidogo kwa Al-kaida hiyo!!!!?? Ha ha ha!!! Acha waendelee kula punje za jela!!! Tena ningekuwa hakimu ningesema kwa sababu ya kiusalama hawataruhusiwa kuletewa chakula toka nyumbani!!! Chezea serikali weye!!

Masharti mengine sio tatizo Zogwale...

Kasheshe ni huyo mfanyakazi wa serikali ataye-hiari kujitambulisha kuwa ni mwana-Uamsho....hahahaaaaa

Wafadhili wao wanatoa mapesa kimya kimya hawawezi kujitokeza kuwadhamini hata kama mihela wanayo.

Chezeya CCM wakikuchoka
 
Dhamana ni haki ya kila mshitakiwa chini ya dhana ya presumption of innocence till prove otherwise by the court of law. Hivyo basi serikali imetenda haki. Hapakuwa na haja ya kuendelea kuwashikilia. Jambo la muhimu kwa serikali kufanya ilikuwa ni kuwafutia usajili na kuanza kuwafuatilia vilivyo. Huo ndiyo utawala wa sheria ingawa Tanzania hakuna.
 
Kifupi ni kwamba wamenyimwa Dhamana ila wamenyimwa kwa njia ya kuridhisha. sasa hapo mdhamini awe mtumishi wa serikali mnafikiri ni nani atajitambulisha kwamba yeye ni uamsho ila anafanya kazi serikalini. Bonge la tego.????
 
Pweza hujipalilia mkaa mwenyewe.

Ukiona Serikali inaogopa raia zake, ujuwe Serikali ina matatizo makubwa.
 
Siwezi kuwa muungwana kwa watu wabaya wanaopandikiza mbegu ya hatari katika nchi. Watu hawa ni wa kuogopa kama ukoma.Mtu mwenye akili timamu huwezi kufanya mambo yanayofanywa na hawa watu. Kwanza wanamuonekano wa kigaidi.Si watu wema hawa ! Je mnajua madhara ya watu kama hawa wakiachiwa waendelee hivi hivi. Tunayo mifano mingi ya kujifunza, Hitler alianza hivi na watu wakimshangilia ,angalia maangamizi aliyofanya. Wafuga ndevu Matalibani, Osama, alshababu , boko haramu , wote mijahidina imelete vurugu duniani.
Hawa watu ni wa kufunga jiwe shingoni na kutumbukiza baharini wakutane na baba yao Osama
 
Pweza hujipalilia mkaa mwenyewe.

Ukiona Serikali inaogopa raia zake, ujuwe Serikali ina matatizo makubwa.

Ha ha ha.. Mkuu huchoki kunishangaza.. Hii ni serikali ya ccm ambayo kutwa kucha waongoza kwa kuitetea hapa FJ..! Unless.. Mh when u'r forced to choose..
 
Masharti hayo ya wadhamini wawe ni watumishi wa serikali halafu tena barua toka kwa mwajiri hilo limefanywa makusudi ili watumishi wataojaribu kuwadhamini waonekane nao ni uamusho na kuangaliwa na macho mawili!!!!
Ndiyo mkuu ni vema pia kujua washirika wao wa karibu!
 
Mbona masharti ya kawaidia jamani hayo, ugumu wake ni hizo milioni tatu? sijaelewa kabisa hapa
Shughuli ni wadhamini wanaofanya kazi Serikalini. Mfanyakazi gani mwajiriwa wa Serikali anaweza kujiingiza kichwa kichwa? Labda Mawaziri wa SUK kama Jusa, Bimani, Duni Haji na Maalim Seif mwenyewe.
 
Ha ha ha.. Mkuu huchoki kunishangaza.. Hii ni serikali ya ccm ambayo kutwa kucha waongoza kwa kuitetea hapa FJ..! Unless.. Mh when u'r forced to choose..

Zanzibar kuna Serikali ya Mseto. Chunga akili yako.
 
Siwezi kuwa muungwana kwa watu wabaya wanaopandikiza mbegu ya hatari katika nchi. Watu hawa ni wa kuogopa kama ukoma.Mtu mwenye akili timamu huwezi kufanya mambo yanayofanywa na hawa watu. Kwanza wanamuonekano wa kigaidi.Si watu wema hawa ! Je mnajua madhara ya watu kama hawa wakiachiwa waendelee hivi hivi. Tunayo mifano mingi ya kujifunza, Hitler alianza hivi na watu wakimshangilia ,angalia maangamizi aliyofanya. Wafuga ndevu Matalibani, Osama, alshababu , boko haramu , wote mijahidina imelete vurugu duniani.
Hawa watu ni wa kufunga jiwe shingoni na kutumbukiza baharini wakutane na baba yao Osama

Wachovu, mm nakubaliana nawe; shida yangu ni kuwa tunasahau kabla ya moto ni cheche zianzishazo moto hata kula msitu mkuubwa kbs. Na hii yaweza kua njiti 1 tu ya kiberiti, tena kwa udogo wake kiumbo hata thamani.
Hivi tunamjua vizuru huyu Farid na wenzake kiasi cha kujiridhisha?? Walitoa historia kuwa alishafanya na kushiriki mafunzo ya ugaidi, na kuhofiwa uwezo wake kiakili. Na ni mtanzania kwa kuhamia, anaweza kua na uchungu na nchi hii kweli?? Hivi akiwa nyumbani kwako utalala kweli!!!
Hawa ni wakuogopwa na kuondolewa kbs kbs. Naunga hoja
 
aisee rewind kwanza hiyo tape uanze upya mana sijaelewa hata neno moja ulilosema hapo juu
 
Mpwa wangu Wingu naomba nisome na unisome vizuri nilichokiaamisha hata hivyo sijiu hoja ya Dr.Wilbroad Slaa imekujaje hapa. Thanks
Mkuki kwa nguruwe mkuu.Ngoja Slaa awekwe ndani halafu mfanyakazi wa Serikali ndo awe mdhamini wake kama itakufurahisha
 
Last edited by a moderator:
walidhani nchi ni yao wakasahu kuwa kuna sheria na serikali ikiamua kukuteketeza unateketezwa sasa watajua kiuno cha nyoka kilipo.........chezea SMZ weye
 
Back
Top Bottom