Breaking News! Waziri wa DARUSO aokolewa kudisco! Walimu wambeba !

Breaking News! Waziri wa DARUSO aokolewa kudisco! Walimu wambeba !

Kwanza umemdharirisha. Pill ni udaku tu coz huna uhakika
Ni sahihi Sana huyo jamaa na CCM kawaitia polisi wenzie alijiona usalama wa taifa alitamba Sana hapo viungani kipikipiki posta Cha watawala hiyo Ni laana takatifu
 
Mmekwama wapi wasomi wa Leo? Wenzenu walikuwa na Punch na walifanikiwa sana kutoa taarifa tena enzi hizo nineteen kweusi bila mitandao.
 
Niliposoma disco nyingi zilikuwa zinatokana na idadi ya sup hata kama GPA ni ya zaidi ya 2.

Sup 3 za masomo 3 tofauti, unadisco.

Hapo nimeuliza huo itaratibu pia upo UDSM?
Huko sidhani kama kuna condition hiyo maana kuna watu walikuwa wanasapua hadi masomo manne. Ninachojua kitu kingine kinachoweza kumdisco mtu ni kushindwa kusapua course aliyobeba
 
Huyu nae atakuwa hasomi,ELE anashindwa kufikisha 1.8?Ingekuwa ME je? Apunguze siasa na ajikite kwenye masomo.
 
Huyu mtu alifikaje hapo CoET? Maana hiyo GPA mbona anaonesha ni dhaifu sana?
 
Huko sidhani kama kuna condition hiyo maana kuna watu walikuwa wanasapua hadi masomo manne. Ninachojua kitu kingine kinachoweza kumdisco mtu ni kushindwa kusapua course aliyobeba
Sisi kudisco ni mwaka wa 2 na wa 1 tu.

Miaka inayofuata unaweza kucarry hata mara kadhaa hadi ufaulu.
 
Back
Top Bottom