Breaking News Ziwa Urmia Iran limekauka pamoja na juhudi za kulijaza, uhai watu zaidi ya milioni mashakani, wanasayansi Israel hawajatoa maoni

Ayotollahs fedha zote wanaelekeza kwenye miradi ya nyuklia kupambana na Waisraeli badala ya kuelekeza kwenye miradi kama ya maji yenye kusaidia wananchi. Ambapo kiuhalisia Israeli haina shida yeyote na Iran. Israeli siku zote inajilinda tu haijawahi kuanzisha vita dhidi ya hawa wavaa vipedo na makobazi 🤔
 
Una uhakika na unachoongea??
 
We jamaa mada zako za ushabiki shabiki za ushambenga.
Sasa wanasayansi wa Israel na kutoa maoni wanahusikaje??
Kwani ni mara ya kwanza hilo tatizo kutokea hapo??

Kuna nguruwe pori zingine zinakwambia Israel amehusika.
Shenzi kabisa.
 
Mkuu pole kama nimekuudhi!
We jamaa mada zako za ushabiki shabiki za ushambenga.
Sasa wanasayansi wa Israel na kutoa maoni wanahusikaje??
Kwani ni mara ya kwanza hilo tatizo kutokea hapo??

Kuna nguruwe pori zingine zinakwambia Israel amehusika.
Shenzi kabisa.
 
Una uhakika na unachoongea??
100%
Kuna nchi hawaikubali Israeli lakini sababu hawajawahi Shambulio Israeli na Israeli haijawahi ingia vita nao. Mfano, Somalia, Afghanistan, Yemen imeshambuliwa juzi baada ya wahouthi kuchokoza Israeli. Israel like any sovereign state has right to defend herself 🤔
 
Huna unalolijua.
Achana na propaganda mnazojijaza kwenye madrasa yenu na vijiwe vya kahawa ninyi wavaa vipedo, misuli na makobazi.
Kuna nchi hawaikubali Israeli lakini sababu hawajawahi Shambulio Israeli na Israeli haijawahi ingia vita nao. Mfano, Somalia, Afghanistan, Yemen imeshambuliwa juzi baada ya wahouthi kuchokoza Israeli. Israel like any sovereign state has right to defend herself 🤔
 
Ni kama Wazayuni wanamzidi Allah akili
 
Ngoja akusikie FaizaFixy 😄 🤣 😂
 
Haya Nyie Wavaa Pedo na kobazi wa Buza Kwa Mparange, Wafia Dini Wa Muddy, Je Mnasikia Mateso Wanayokwenda Kupata Wa IRANI Uko? Mkiambiwa Mazayuni ni Taifa Teule Basi mkubali,
 
Kuishi au kutokuishi hakuna maana yoyote zaidi ya kusubiri kufa

Nya ni nya tu wote sisi na wao tuna nnya pia tofauti ni hali ya maisha tu .

Nenda wakakuoe sasa si unapapenda?
Madrassat mentality waga haiongopi.
 
Isijekuwa ni wale walioigawa bahari ili wapite ndiyo wamefanya yao
 
Ziwa linaisha maji kwasababu Uturuki wanajenga Hydroelectric dam so wamechepusha maji.. na Iran hana la kufanya kumbwatukia Erdoğan muislam maenzie.. hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…