mi mwenyewe kama sio huyu kukipost nisingekiona nahisi kuna wengi pia. hivyo ukishaona kitu mahali pengine usichukie wengine tukiletewa huku. Haya maisha yamebana jamani acheni tuchekeshane siku zisonge mbele.ww ndio leo unapata hicho ki message huku watu toka juzi tumekipata kupitia wts upp! upo kijijini vp????
Haha ww mkuu 42elfuDu umenishitua sana, nikahis mshahara wangu utafika elfu 42
BREAKING NEWS:
'"Mishahara ya watumishi juu'"
Hatimaye watumishi wa umma na sector binafsi wakumbukwa. Mishahara mipya kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi yatangazwa rasmi, ni nyongeza ya asilimia 50 kuanzia September mosi mwaka huu. Wafanyakazi wametakiwa kuendelea kuchapa kazi kwa bidii zote neema ndo kwanza imewashukia.
*NB:
Ifahamike vema kuwa habari hii ni kule nchini Mexico,Tanzania tuendelee kusugua goti kwa maombi..............!!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]ww ndio leo unapata hicho ki message huku watu toka juzi tumekipata kupitia wts upp! upo kijijini vp????
Kivipi tenaaaPost za watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja utazijua tu