Breaking news

Breaking news

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
BREAKING NEWS:

'"Mishahara ya watumishi juu'"
Hatimaye watumishi wa umma na sector binafsi wakumbukwa. Mishahara mipya kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi yatangazwa rasmi, ni nyongeza ya asilimia 50 kuanzia September mosi mwaka huu. Wafanyakazi wametakiwa kuendelea kuchapa kazi kwa bidii zote neema ndo kwanza imewashukia.

*NB:
Ifahamike vema kuwa habari hii ni kule nchini Mexico,Tanzania tuendelee kusugua goti kwa maombi..............!!!
 
ww ndio leo unapata hicho ki message huku watu toka juzi tumekipata kupitia wts upp! upo kijijini vp????
 
Post za watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja utazijua tu
 
Asee mi nilikuwa nishaanza kuwapigia mafundi cm waje kuchimba msingi wa nyumba !!kumbe hiko nje bhana!! We mmjamaa ulaaniwe sana asee!!
 
ww ndio leo unapata hicho ki message huku watu toka juzi tumekipata kupitia wts upp! upo kijijini vp????
mi mwenyewe kama sio huyu kukipost nisingekiona nahisi kuna wengi pia. hivyo ukishaona kitu mahali pengine usichukie wengine tukiletewa huku. Haya maisha yamebana jamani acheni tuchekeshane siku zisonge mbele.
 
Asee mi nilikuwa nishaanza kuwapigia mafundi cm waje kuchimba msingi wa nyumba !!kumbe hiko nje bhana!! We mmjamaa ulaaniwe sana asee!!
Mbona unanilani kaka!?!!
 
BREAKING NEWS:

'"Mishahara ya watumishi juu'"
Hatimaye watumishi wa umma na sector binafsi wakumbukwa. Mishahara mipya kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi yatangazwa rasmi, ni nyongeza ya asilimia 50 kuanzia September mosi mwaka huu. Wafanyakazi wametakiwa kuendelea kuchapa kazi kwa bidii zote neema ndo kwanza imewashukia.

*NB:
Ifahamike vema kuwa habari hii ni kule nchini Mexico,Tanzania tuendelee kusugua goti kwa maombi..............!!!
1471921142973.jpg
1471921225760.jpg
 
Nimestukaje!
Maana ingekuwa tumepata faraja kwa mara ya kwanza tangu serikali hii kuanza kazi.Ikumbukwe kuwa kipaumbele cha serikali hii ni kuleta machungu kwa kila mwananchi.
 
Back
Top Bottom