mkubhi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 2,216
- 3,319
BREAKING NEWS:
'"Mishahara ya watumishi juu'"
Hatimaye watumishi wa umma na sector binafsi wakumbukwa. Mishahara mipya kwa watumishi wa serikali na sekta binafsi yatangazwa rasmi, ni nyongeza ya asilimia 50 kuanzia September mosi mwaka huu. Wafanyakazi wametakiwa kuendelea kuchapa kazi kwa bidii zote neema ndo kwanza imewashukia.
*NB:
Ifahamike vema kuwa habari hii ni kule nchini Mexico,Tanzania tuendelee kusugua goti kwa maombi..............!!!