Breaking News.........

Breaking News.........

Habari iliyotufikia hiv punde... Basi lenye namba za usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Ngorika linalosafirisha abiria kutoka Arusha kwenda Dar, Dar kwenda Arusha lilokuwa linatokea Arusha kwenda Dar lilikua limebeba abiria 71 wanaume 43 wanawake 28 lilokua linaendeshwa na dereva Amosi John lilipofika Maeneo ya Lugoba nyuma ya Chalinze lilikutana na Gari kubwa ya Mizigo Sem Trellar Lenye Namba Za Usajil T 854 AMT lililokuwa linaendeshwa na dereva Abdi Jonh Dereva Wa Basi Alianza Kumuona Dereva Wa Semi Na Kumuwashia Taa Za Mbele (full Light) Baada Ya Hapo Dereva Wa Semi Naye Aliiona Na Kujibu Kwa Kuwasha Na Yeye Taa Za Mbele Full Light Ikiwa Ni Ishara ya Salaam Kwani Madereva Hawa Amosi John Na Abdi Jonh Ni Ndugu Hata Hivyo Mda Mchache Baadae Magari Hayo Yalipishana Na Kuendelea Na Safari Tukio Hilo La Aina Yake Lilitokea Leo Sa 2 Na Robo Asubuhi...

Ni hivyo tu kama hujaridhika basi, lakini hakuna kingine zaidi!!
Dah nilichotegemea tofauti
 
Inanesha ni jinsi gani watz media zinavyotutengezea maneno na kuyazoea.Na ukishamezeshwa hutaki yabadilishwe.
Usijali mkuu, Hii sio habari kwa kuwa haikidhi vigezo vya habari kuwa habari.... wazee wa chit chat inakidhi fikra na muktadha wa jukwaani.
 
Habari iliyotufikia hiv punde... Basi lenye namba za usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Ngorika linalosafirisha abiria kutoka Arusha kwenda Dar, Dar kwenda Arusha lilokuwa linatokea Arusha kwenda Dar lilikua limebeba abiria 71 wanaume 43 wanawake 28 lilokua linaendeshwa na dereva Amosi John lilipofika Maeneo ya Lugoba nyuma ya Chalinze lilikutana na Gari kubwa ya Mizigo Sem Trellar Lenye Namba Za Usajil T 854 AMT lililokuwa linaendeshwa na dereva Abdi Jonh Dereva Wa Basi Alianza Kumuona Dereva Wa Semi Na Kumuwashia Taa Za Mbele (full Light) Baada Ya Hapo Dereva Wa Semi Naye Aliiona Na Kujibu Kwa Kuwasha Na Yeye Taa Za Mbele Full Light Ikiwa Ni Ishara ya Salaam Kwani Madereva Hawa Amosi John Na Abdi Jonh Ni Ndugu Hata Hivyo Mda Mchache Baadae Magari Hayo Yalipishana Na Kuendelea Na Safari Tukio Hilo La Aina Yake Lilitokea Leo Sa 2 Na Robo Asubuhi...

Ni hivyo tu kama hujaridhika basi, lakini hakuna kingine zaidi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...safi sana kutuchekesha tulegeze vyuma maana no lubricants kabisa kitaa
 
IMG-20171225-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom