Breaking waasi wa houthi waipiga Tel Aviv kwa makombora, mfumo wa kuzuia makombora wa idf washindwa kufanya kazi, 14 wajeruhiwa

Hivi Marekani si alifunga mfumo wa THAD wenye jukumu la kukabiliana na makombora kama hayo ?
Inawezekanaje kieneo kidogo kama Israel kilicho jaa kila aina ya takataka za ID zinazo pambwa kuwa ni bora kiwe kina shambuliwa na makombora tena yenye teknolojia hafifu?
 
Wapii mfumo uyo marekani mwenyewe kashatestiwa na ile mimeli yake ikapigwa muda sio mlefu marekani itoa mlio na kutoka nduki mid Est. Au wakimbilie UN mana Yemen akuna Taget kama zile za Lebanon kule Lebanon yale majengo IDF ilikuwa inayashusha zilikuwa ni Apartment kubwa zinazomilikiwa na Taasisi ya Hezboolah sasa yemen Watapiga tu mitambo y umeme au maji mafuta lkn majubwa kama kwengine uko akuna labda wa pige tu za raia.
 
Kumbe hujui kabisa Kiingereza.

14 people were lightly hurt, most of them from broken glass, kwa Kiswahili inakuwa ni uharibifu mkubwa? Nendeni shule mkasome. Kama hata lugha tu hamuelewi, nini ambacho mnaelewa?
Sisi wenzake tumeelewa alichomaanisha, hakuna tofauti kubwa na ulivyoolewa wewe, samahani ilivyoelewa wewe. Kikubwa na kuelewa, hatuwezi kuwa perfect 100%, Baki na elimu yako unayodhania ni kubwa kuliko mwenzako.
 
Juzi kati tumeambiwa israel imeshambilia yemen na kuteketeza nguvu zote za Houth hawawezi hata kujitetea kwa bastola ziliangamizwa zote!
 
Iweke hapa hiyo habari ilomfurahisha akaikalia kimya.
 
Kumbe hujui kabisa Kiingereza.

14 people were lightly hurt, most of them from broken glass, kwa Kiswahili inakuwa ni uharibifu mkubwa? Nendeni shule mkasome. Kama hata lugha tu hamuelewi, nini ambacho mnaelewa?
Aibu kubwa Sana mkuu....
 
Taarifa umeiweka kinafiki sana kichwa cha habar kinasema makombora ili Hali ni kombora Moja Tena limelipuka sehemu ya wazi.
 
Baada ya kushiba magimbi na viazi vitamu asubuhi hii apo kwa shemeji yakoo,umeona na wewe uje uandike hiki.
Huo ndo ukweli hata kama mchungu umeze hivo hivo
Hamasi hamiliki ardhi yeyote Gaza kwa sasa anaishi kwa kuhamahama Kawa mkimbizi kutwa kucha kwenye mashimo Kila Kona amechukuwa muyahudi,Hezbollah Kisha tulizwa kwa kipigo huto sikia akipayukapayuka Tena ameambiwa akae pembeni,Iraq hakuna kitu hapo ndo ndege za Israel zilipo mpa ukilema Iran,Ayatollah jasho linamtoka kwa kutetemeka hajui atatimiza vipi Opareshi III,hicho ndo myahudi kamfanya,alimtegemea Rasia lkn naye kavamiwa huko Kurkus usicheze na west wewe
 
Nilliswma Katika midumo ya kishamba ni pamoja na thaad. Inavyopamvwa na west median utadhan ni mfumo wa maana sana. Mfumo gain unaendeshwa na watu 100
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Hapo kweli itakuwa mtu anatafutiwa sababu atolewe nguo za ndani hadharani!! Hivi hawaoni majirani zao wanavyoteseka.
 
Kumbe hujui kabisa Kiingereza.

14 people were lightly hurt, most of them from broken glass, kwa Kiswahili inakuwa ni uharibifu mkubwa? Nendeni shule mkasome. Kama hata lugha tu hamuelewi, nini ambacho mnaelewa?
Waisrael hata uwapige nuclear,hawafi isipokua light injuries from debris, fragments
 
Mfumo upo saudi arabia na houthi walibutua mitambo ya mafuta
 
Taarifa umeiweka kinafiki sana kichwa cha habar kinasema makombora ili Hali ni kombora Moja Tena limelipuka sehemu ya wazi.
Sehemu ya wazi na changarawe zikaruka hadi sehemu isiyo wazi na kujeruhi watu
 
Wamemuuliza kingereza alipata ngapi O level?
Sijui wana maana gani hawa?
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
wasi wasi wa kifala...houthi hawajaanza kuipiga tel aviv leo wala jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…