hakuna jambo hilo na usiliwazie hivyo, Yemen haijawahi ku-sarender kwa mayahudi na wako vizuri wacha tutumie njia hiyo sasa baadala hizbollah ili kumnyoomsha huyo myahudiMimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Kutufunga ntufungaaa,nasi chenga tunawala!Wamenyooshwa kisawasawa
Huna akili nahisi!!Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Sawa subirini moto wa Myahudi uliomchoma Iran,Hamas,Syria na Hezbolah,siyo muda utaona matokeo,myahudi hana maneno ni matendo tuhakuna jambo hilo na usiliwazie hivyo, Yemen haijawahi ku-sarender kwa mayahudi na wako vizuri wacha tutumie njia hiyo sasa baadala hizbollah ili kumnyoomsha huyo myahudi
Takriban watu 14 wamepata majeraha madogo yaliyotokana hasa na vioo vilivyovunjika, unaelewa nini hapo?Wamenyooshwa kisawasawa
Utajiri usionipa amani, siutaki mimi. Muda wote mtu upo roho juu juu tu. Muda wowote vingora ninaweza kutoa molio mkimbie kujificha. Nchi imejaa mapango (bomb shelters)Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa
Tel Aviv yapigwa na kombora zitoe kutoka Yemen
Mfumo wa kuzuia makombora umeshindwa kuzuia kombora hilo ambalo limepiga tel Aviv na kufanya uharibifu mkubwa
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
The military confirms that a missile originating in Yemen impacted in central Israel a short time ago, saying “attempted interceptions did not succeed.”
It says further details are being checked.
The Magen David Adom ambulance service says 14 people were lightly hurt in the missile strike in Tel Aviv, most of them as a result of broken glass.
A few others were bruised while rushing to shelters.
Times of Israel
Mzunguko umeisha hapo wapo mwisho houth anaenda kuzikwa na Iran mpya inakuja bila Ayatola kama Syria ilivyo bila AssadIsrael hapo haiwezi kuishi kwa amani!
Kinachofanyika ni kama wanaenda kimzunguko!
Hamas anaanzisha halafu anapoa!.
Ghalfa Hizbullah anaanzisha halafu anapoa!
Ghafla Houth anannzisha!
Akipoa mzunguko unajirudia!
Hawajui lolote zaidi ya mihemkoTakriban watu 14 wamepata majeraha madogo yaliyotokana hasa na vioo vilivyovunjika, unaelewa nini hapo?
Myahudi Ndo anapenda hizo battle wale magaidi anawafanyia high pressing hacheki na kimaIsrael hapo haiwezi kuishi kwa amani!
Kinachofanyika ni kama wanaenda kimzunguko!
Hamas anaanzisha halafu anapoa!.
Ghalfa Hizbullah anaanzisha halafu anapoa!
Ghafla Houth anannzisha!
Akipoa mzunguko unajirudia!
Kwani uyu uzalendo w kTZ ndio leo kuleta uzi umu JfIweke hapa hiyo habari ilomfurahisha akaikalia kimya.
Una mawazo ya kitoto saña!Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
sijasema hivyoKwani uyu uzalendo w kTZ ndio leo kuleta uzi umu Jf
Iran bila Ayatollah haiwezekani, angalia jinsi mfumo wa Irañ jinsi ulivyo wa kiuongozi na kiimani utaelewa.Mzunguko umeisha hapo wapo mwisho houth anaenda kuzikwa na Iran mpya inakuja bila Ayatola kama Syria ilivyo bila Assad
Nimeelewa bwashee kuna mtu anavicha uchi lkn anataka mtoto!!! Adi sasa wapo wanatafuta manusura kwenye vifusi. Ndio UK na USA waneangaika kwenye mzozo wa sasa ...Takriban watu 14 wamepata majeraha madogo yaliyotokana hasa na vioo vilivyovunjika, unaelewa nini hapo?
Myahudi hapendi haya!Myahudi Ndo anapenda hizo battle wale magaidi anawafanyia high pressing hacheki na kima
Umewaza kama mimi jamaa wanawaachia ili wapate sababu ya kupiga mpaka tusemeMimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Hakuna cha sababu kaotewa katandikwa.kwani Israel kaanza Leo kuishambulia Yemen mbona tangu muda tu anaipiga YemenMimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon