Breaking waasi wa houthi waipiga Tel Aviv kwa makombora, mfumo wa kuzuia makombora wa idf washindwa kufanya kazi, 14 wajeruhiwa

Breaking waasi wa houthi waipiga Tel Aviv kwa makombora, mfumo wa kuzuia makombora wa idf washindwa kufanya kazi, 14 wajeruhiwa

Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
hakuna jambo hilo na usiliwazie hivyo, Yemen haijawahi ku-sarender kwa mayahudi na wako vizuri wacha tutumie njia hiyo sasa baadala hizbollah ili kumnyoomsha huyo myahudi
 
Israel wanatengeneza hiyo vita wao wanataka vita iendelee sijui kwa faida ipi..
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Huna akili nahisi!!
 
Israel hapo haiwezi kuishi kwa amani!

Kinachofanyika ni kama wanaenda kimzunguko!

Hamas anaanzisha halafu anapoa!.

Ghalfa Hizbullah anaanzisha halafu anapoa!

Ghafla Houth anannzisha!

Akipoa mzunguko unajirudia!
 
hakuna jambo hilo na usiliwazie hivyo, Yemen haijawahi ku-sarender kwa mayahudi na wako vizuri wacha tutumie njia hiyo sasa baadala hizbollah ili kumnyoomsha huyo myahudi
Sawa subirini moto wa Myahudi uliomchoma Iran,Hamas,Syria na Hezbolah,siyo muda utaona matokeo,myahudi hana maneno ni matendo tu
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kumekuchaa

Tel Aviv yapigwa na kombora zitoe kutoka Yemen

Mfumo wa kuzuia makombora umeshindwa kuzuia kombora hilo ambalo limepiga tel Aviv na kufanya uharibifu mkubwa

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

The military confirms that a missile originating in Yemen impacted in central Israel a short time ago, saying “attempted interceptions did not succeed.”

It says further details are being checked.

The Magen David Adom ambulance service says 14 people were lightly hurt in the missile strike in Tel Aviv, most of them as a result of broken glass.

A few others were bruised while rushing to shelters.

Times of Israel
Utajiri usionipa amani, siutaki mimi. Muda wote mtu upo roho juu juu tu. Muda wowote vingora ninaweza kutoa molio mkimbie kujificha. Nchi imejaa mapango (bomb shelters)

Maisha gani sasa haya??..
 
Israel hapo haiwezi kuishi kwa amani!

Kinachofanyika ni kama wanaenda kimzunguko!

Hamas anaanzisha halafu anapoa!.

Ghalfa Hizbullah anaanzisha halafu anapoa!

Ghafla Houth anannzisha!

Akipoa mzunguko unajirudia!
Mzunguko umeisha hapo wapo mwisho houth anaenda kuzikwa na Iran mpya inakuja bila Ayatola kama Syria ilivyo bila Assad
 
Myahudi Ndo anapenda hizo battle wale magaidi anawafanyia high pressing hacheki na kima
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Una mawazo ya kitoto saña!
 
Mzunguko umeisha hapo wapo mwisho houth anaenda kuzikwa na Iran mpya inakuja bila Ayatola kama Syria ilivyo bila Assad
Iran bila Ayatollah haiwezekani, angalia jinsi mfumo wa Irañ jinsi ulivyo wa kiuongozi na kiimani utaelewa.

Ayatollah ni kiongozi mkubwa wa kidini ambaye kwao anafahamika na kuheshimisha.

Katika jamii zote za kiislamu hakuna jamii ambayo inayosoma sana dini yao kwa wingi kama jamii ya Shia. Hawa wanasoma sana dini hata kwa hapa Tz. Kwa kupitia mfumo wao wa kupeana elimu ya kidini nafasi ya Ayatollah imo humo! Hivyo ni vigumu sana kumtoa Ayatollah moyoni mwao!

Unaufahamu mfumo wa kiuongozi wa kimadaraka na kimamalaka jinsi ulivyo Iran? Unafahamu pia mfumo wao wa kijeshi upoje?
 
Takriban watu 14 wamepata majeraha madogo yaliyotokana hasa na vioo vilivyovunjika, unaelewa nini hapo?
Nimeelewa bwashee kuna mtu anavicha uchi lkn anataka mtoto!!! Adi sasa wapo wanatafuta manusura kwenye vifusi. Ndio UK na USA waneangaika kwenye mzozo wa sasa ...
 
Myahudi Ndo anapenda hizo battle wale magaidi anawafanyia high pressing hacheki na kima
Myahudi hapendi haya!

Kuishi kama upo ukimbizini hali ya kuwa nchini mwako hiyo hali ni ya kupenda ndugu yangu?

Na ndiyo maana unaona Israel anatumia nguvu kubwa!
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Umewaza kama mimi jamaa wanawaachia ili wapate sababu ya kupiga mpaka tuseme
 
Mimi nina wasiwasi hii ni mipango ya Israel wenyewe kutengeneza mazingira ipigwe ili wapate sababu ya kuishambulia Yemen rasmi. Kama ilivyofanya kwa Hizbullah wa Lebanon
Hakuna cha sababu kaotewa katandikwa.kwani Israel kaanza Leo kuishambulia Yemen mbona tangu muda tu anaipiga Yemen
 
Back
Top Bottom