Breaking waasi wa houthi waipiga Tel Aviv kwa makombora, mfumo wa kuzuia makombora wa idf washindwa kufanya kazi, 14 wajeruhiwa

Wakati Myahudi anawabonda hamas, Hezbolla walikuwa wanajitokeza na kupiga Israel, lakini Israel hakupoteza focas mpaka alipo hakikisha hamas hana nguvu tena ndio akaanza kujilia Hezbolla taratibu.

Juzi niliona taarifa inasema Netanyahu anaona UK na US hawajafanya chochote pale Yemen so anataka kuingia mwenyewe.

Nadhani sasa tutajionea.
 
Shida Ujajua Israel Uk Na marekani ipo ivi kwanguvu ambazo anazo Yemen ndio kikwazo kikuu cha Jeuri ya izo inch3 Yemen anaweza kukubutua ukowa popote tofaut na Gaza na Hezbollah Hezbollah yupo zaid kulenga ndani ya Israel lkn Yemen yupo kutupia kwa mbali mbali apo Yemen ndio hatari zaid.ndio mana wanamueshim awapigi ovyo ovyo.
 
Hivi mnunua udongo na mnunua mafuta ya Sharif Majini wana tofauti gani!? Waislam wanauziwa kilakitu ila kwakuwa wanaenda kununua kwenye maduka (wenyewe mnaita ya kisuna) basi mnahisi mko tofauti na hao wanaouziwa makanisani! Nyote ni walewale tu.
 
Israeli Kapakani na yemen useme eti ataenda na kurudi mara tatu au 2. Pia yemen hana cha kupoteza na kwakwe ni sifa kupigana na israeli
 
Sawa Nyau hakatazwi kuota.
 
Kama alivyoota gaza na hezbollah?
Wapi kashinda vita kule Gaza mpaa leo hajashinda vita, alisema anaenda imaliza Hamas, je kawamaliza? Kule Lebanon bila US kumuokoa angepigika vibaya sana . Je target yake ya vita vya Lebanon alifanikiwa kwa njia ya vita? Au kafanikiwa kwa njia ya siasa.

Kwa Yemen ndio asahau kabisa kuwashinda.
 
Yemen kwao ni sifa kupigana na israeli na pia hawana cha kupoteza huko . Israel hawezi kupeleka ndege zaidi ya Mara nne maana issue ya logistic ni risk sana na ngum labda saudi amsaisaidie kitu ambacho Saudi hawezi Fanta
 
Yeye ana
Yeye Netanyahu kafanya nini kwenye vita zake zaid ya kuuwa Raia kule kwa Hezbollah alikimbia adi sasa anaogopa kwenda pande ile apo Gaza kachinja watu mwisho akabaini vita sio kilakitu akaweka Pesa juu ya meza apate raia wake. Lkn wapi ngoma ngumu. Wajuba w Hamas wapo ngangali kias walimwengi wameshtushwa na IDF ilivokuwa ikipambwa kwenye Madia zao lkn awana ujasili kuwaokoa waisrael 100 walio ndani ya eneo Dogo kias kuweka pesa kupata raia wao. Aibu hii itawaandama sana watu sasa wakisikia IDF wataona ni mbwembwe ewa.,
 
Sio kulipa ni kukopesha Tena. Hauthi ndio wamelipa kuchomewa maghala yao ya mafuta, maghala ya kuhifadhia silaha, vituo vya kufua umeme na makao makuu ya jeshi lao hapo SANAA. Angalia uzi ulioletwa na MTZ255 DAR Alhamis iliyopita.
Myahudi lazima alipe na huwa hasaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…