Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Wakati Myahudi anawabonda hamas, Hezbolla walikuwa wanajitokeza na kupiga Israel, lakini Israel hakupoteza focas mpaka alipo hakikisha hamas hana nguvu tena ndio akaanza kujilia Hezbolla taratibu.
Juzi niliona taarifa inasema Netanyahu anaona UK na US hawajafanya chochote pale Yemen so anataka kuingia mwenyewe.
Nadhani sasa tutajionea.
Juzi niliona taarifa inasema Netanyahu anaona UK na US hawajafanya chochote pale Yemen so anataka kuingia mwenyewe.
Nadhani sasa tutajionea.