Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

December ina shida gani..[emoji1787][emoji1787]

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Shida yenu mnaingia wazima kama gunia la viaz ndio maana mnakuja kulia baadae.
 
Kuna demu moja la kitaa lilikua linasema kwa aliyoyapitia hakubali kuachwa akiona dalili za kutaka kuachwa anawahi kukumwaga ili isimuume..tukamwambia hujakutana na mwamba…kwakua alikua pisi akajaa kwa muhuni flan mshkaj ana mpunga halafu ana haiba..akakutana na mapenzi heavy kutoka kwa mwamba..mara paah mwamba akapita na shost wa demu wake watu wakasema tuone sasa…***** alikua analia ka mbwaa
 
Inategemea mmekaa muda gani,kuna kademu nimetandika juzi na jana leo ,nmekambia tuachane coz kashaanza kuniita mume tuna siku mbili tu..bumbaaaaaaavu
 
Mkitaka msikumbukane achaneni kwa makofi na mitusi mpaka mjaze watu au mlale sentro..mtanishkuru
 

Ipo siku ..hutaamini
 
Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.

Hua siamini kama kuna kuacha wala kuachwa, naamini kuna kuachana

Ukiniacha nachukua maamzi haraka ya kukuacha ,hutantafta wala sitakutafta
Tutakua tumeachana rasmi
 
Mapenz magumu
 
Break ups are not hard. Its just men these days are too weak so they become feminised while women become stronger as they turn Masculine.

Hivi wazee wa zamani walikuwa wanajua kuhusu mapenzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…