Kuna mmoja nilimpenda sijawahi penda vile ikafikia timea akaanza kuniona mimi kama vile boya ana cheat anatuma picha zake za uchi namkamata nasamehe nikawa nashindwa kumuacha
Siku moja sijui kapata jitu gani likamchanganya anakuja mara "siwezi date na wewe nakuzidi miaka miwili" we mdogo wangu na time hiyo nimemkula kinyama pamoja na dharau zake na show nilikua namuweka kinyama nikawa nambembeleza akagoma nikatulia kimya ingawa nilikua naumia sio kawaida aisee
Badae akaja tena nimsamehe tuendelee nikakubali kwa sababu kale kairak nilikua nakapenda acha kabisa ....baada ya muda nikaona tabia ni zilezile na mimi nikapiga chini na mpaka leo nilikua naona nimechelewa na hua sielewi moyo na akili vilipata vipi ule ujasiri wa kiwango kile ilikua noma sana na mpaka leo kinanisumbua kinataka kugegedwa na mimi juzi kinasema tukutane dodoma na mimi sipo huko sasa hivi na wala hakuna guts za mimi kuonana nako
Toka hapo sidhani kama ntaumia vile tena haitatokea nahisi kupata sugu moyoni ndio maana sasa hivi huyu wa sasa niko nae kwenye uhusiano mguu ndani mguu nje manake kuna dalili simuelewi na nimeanza kumuahsiria kumuacha
View attachment 1765369