Hata mimi napitia hiyo hali ingawa mimi ndo nlitengeneza mazingira ya mahusiano kuvunjika sababu nlimsoma kisaikolojia aliniweka kundi la friendzone so nkatafuta sababu ya kutibuana ingawa nlimjenga sana maana nlimkuta na vidonda vya moyo vingi sana alivyopata kwenye relations za kisasa alizopitia
So baada ya kupona nikaona kama alipunguza ile passion alokua nayo kwangu,nikaanza kujitoa mdogo mdogo huku napitia na shauri za humu
Kuna siku aliniomba pesa flani nkaona hapa ndo ntafute sababu ya kuachana nae
nkamjibu "Pesa nlonayo hapa kuna msala nimepata kuna dada nlianzisha nae mahusiano baada ya kuona hueleweki sasa kanambia kapata ujauzito na unamsumbua so nataka niende nae hosptali tukacheki imekaaje hii issue".
Asee! alilalamika mno ila mwisho wa siku nikamuelewesha na tukaachana kwa amani ingawa huwa anamcheki mshkaji wangu kwenye simu ila binafsi nshafuta namba zake na yeye hanitafuti.
Kiukweli nammiss sana na haiwezi pita siku sijamuwaza ila siwezi rudiana nae maana ana changamoto nyingi za kimaisha na kibaya siwezi mpa unafuu ingawa natambua me kwake ni mmoja ya watu nlomuachia legacy ya kivyangu vyangu ambayo Mola amenijaalia.