Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Mbaka saiz hakuna demu nileyekutana naye,, nika fall in love ,
Kiasi kwamba nikiachw naumia,
Huwa nawashangaa Sana watu wanaolia kisa mapenzi,
Yaan mm nikion dalili tu n mtoa moyoni fasta yaani naheshimu Sana hisia zangu ,
Nazi protect Sana, afu viti vidog Kama mapenz vije viniumize,
 
Sasa mbona hamkuachana mkuu, miezi 3 mbona muda mfupi sana.

Ili nimuite x wangu lazima mwaka uishe kabisa kama ni chini ya hapo anakuwa haja timiza vigezo.
 
Tatizo ni kuwa unamtokea mtu ili unyandue umuache lakin yeye anakuja na mbinu za kukuweka karibu zaidi na ww unakuwa karibu kweli mnatengeneza bond ambayo si rahis kuivunja
 
Kuna vitu uwa sifanyi kushika number anapokaa sitaki nipajue tukiachana nikifuta kila kitu imetoka iyo kama nilimpenda nitapata tabu mwez au Week kazaa ikitoka iyo bsi tna wengi nimewasahau kabisa

Kwa kifupi hiyo siku kusahau ni kufake kama umesahau [emoji28]watu tunakumbukumbu tangia tuna miaka 6 ya utotoni yale matukio sembuse Ex girlfriend juzi juzi tu hapa!
 
Mbaka saiz hakuna demu nileyekutana naye,, nika fall in love ,
Kiasi kwamba nikiachw naumia,
Huwa nawashangaa Sana watu wanaolia kisa mapenzi,
Yaan mm nikion dalili tu n mtoa moyoni fasta yaani naheshimu Sana hisia zangu ,
Nazi protect Sana, afu viti vidog Kama mapenz vije viniumize,

Hata mimi kaka yako nilikuwa hivyo hivyo!hakuna bingwa milele ni suala la muda tu
 
Nipo kweny huo mpito,kila nkijarbu kumsahau bdo ananijia akilin ila kwa alichofanya wala ctaki nirudiane nae tena cz nshajua mbinu mbadala za kumsahau
Mbinu gani hizo mkuu coz napitia situation Kama yako
 
Sasa mbona hamkuachana mkuu, miezi 3 mbona muda mfupi sana.

Ili nimuite x wangu lazima mwaka uishe kabisa kama ni chini ya hapo anakuwa haja timiza vigezo.

[emoji28][emoji28]ni Ex sababu kila mtu ali move on na maisha mengine
 
Back
Top Bottom