Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Not true.

When you fall in love the second time, if it's real you forget you were ever hurt. You hardly take precaution. Because what precaution is there to take?

Arrrrgh.
🤔🤔

Never had got hurt on the second time..

How does it feel like? 😂😂😂😂
 
Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake
Pole sana hiyo hali nimeshawahi kuipitia hata Mimi ila nikajaga kupona
Ila nilichojifunza ni kwamba katika mahusiano yeyote yale

Mapenzi usiyaweke kipaumbele unapokuwa katika mahusiano na mtu yeyote yule uwee unampenda au anakupenda
 
Ushauli wangu kwako mleta Mada unatakiwa utambue mambo yafuatayo

1.maji yakishamwagika hayazoleki imeshatokea tiyali haina jinsi kubali matokeo maisha yaendelee

2.kama mungu amepanga huyu ni wako basi ikoo siku atarudi kama hakupanga basi muache aende.

3.anza kumtafuta Mungu wako umuelezee kilio chako na machungu unayopitia kipindi hiki

4.Tafuta pesa tuu
 
Tatizo nini mpaka kufikia kuachana Mkuu?
Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake
 
Back
Top Bottom