Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Mimi mwenyewe niliwahi kumuacha demu fulani alikua ananipenda balaa. Aisee alibembeleza huyo, alilia mpaka mwishoni nikamuonea huruma nikaamua kumrudia.

Alipoona nimekolea kisawasawa kwenye mapenzi akanipiga chini, kanilamba block mitandao yote, simu hapokei na akakata mawasiliano full!! Nilidata.
 
Mm nilishawahi kuumizwa na breakup moja tu ya 2017dec.
Baada ya hiyo sidhani kama kuna nyingine itauniumiza.

Afu siku hizi mbona mambo ya kuachana yanabadilika kidigital zaidi? Yaan ni simple mno .

Mara unastukia mtu hajakutafuta siku inapita nyingine inapita ndo basi tena.

Mm nahisi siku hizi tunaachana kisomi zaidi bila kuumizana wala maneno.

Au nadanganya ndugu zangu? Nyinyi mnaonaje breakups za siku hizi?
 
Mapenzi balaa japo pia siku hizi vijana wanacheza sana na kamati za mambo ya asili
 
Mm nilishawahi kuumizwa na breakup moja tu ya 2017dec.
Baada ya hiyo sidhani kama kuna nyingine itauniumiza.

Afu siku hizi mbona mambo ya kuachana yanabadilika kidigital zaidi? Yaan ni simple mno .

Mara unastukia mtu hajakutafuta siku inapita nyingine inapita ndo basi tena.

Mm nahisi siku hizi tunaachana kisomi zaidi bila kuumizana wala maneno.

Au nadanganya ndugu zangu? Nyinyi mnaonaje breakups za siku hizi?
Akikuacha njoo tuanzishe ya kwetu asikuchezee mtoto mzuri.
 
Mimi mwenyewe niliwahi kumuacha demu fulani alikua ananipenda balaa. Aisee alibembeleza huyo, alilia mpaka mwishoni nikamuonea huruma nikaamua kumrudia. Alipoona nimekolea kisawasawa kwenye mapenzi akanipiga chini, kanilamba block mitandao yote, simu hapokei na akakata mawasiliano full!! Nilidata.

Pole sana mkuu!mwisho wa siku haukufanikiwa kuonana nae tena?
 
Ngumu mkuu,imagn yy anakir mwenyew kwamba amecheat na moyon hana aman,dawa ni kuachana nae tu japo ndo ivo natakiwa nijipe muda

Endelea kujipigia huku ukiendelea na mchakato wa kutafuta usajili mwingine kinyume na hapo ni mateso bila chuki
 
Nipo kweny huo mpito,kila nkijarbu kumsahau bdo ananijia akilin ila kwa alichofanya wala ctaki nirudiane nae tena cz nshajua mbinu mbadala za kumsahau
Daah tupeane hizo mbinu maana napitia kipindi kama chako
 
Back
Top Bottom