Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,259
- 2,971
Ngumu mkuu,imagn yy anakir mwenyew kwamba amecheat na moyon hana aman,dawa ni kuachana nae tu japo ndo ivo natakiwa nijipe mudaMrejee mwezio weye [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu mkuu,imagn yy anakir mwenyew kwamba amecheat na moyon hana aman,dawa ni kuachana nae tu japo ndo ivo natakiwa nijipe mudaMrejee mwezio weye [emoji23]
Akikuacha njoo tuanzishe ya kwetu asikuchezee mtoto mzuri.Mm nilishawahi kuumizwa na breakup moja tu ya 2017dec.
Baada ya hiyo sidhani kama kuna nyingine itauniumiza.
Afu siku hizi mbona mambo ya kuachana yanabadilika kidigital zaidi? Yaan ni simple mno .
Mara unastukia mtu hajakutafuta siku inapita nyingine inapita ndo basi tena.
Mm nahisi siku hizi tunaachana kisomi zaidi bila kuumizana wala maneno.
Au nadanganya ndugu zangu? Nyinyi mnaonaje breakups za siku hizi?
Mwanaume kubwagwa na mwanamke huo ni ujinga
Mimi mwenyewe niliwahi kumuacha demu fulani alikua ananipenda balaa. Aisee alibembeleza huyo, alilia mpaka mwishoni nikamuonea huruma nikaamua kumrudia. Alipoona nimekolea kisawasawa kwenye mapenzi akanipiga chini, kanilamba block mitandao yote, simu hapokei na akakata mawasiliano full!! Nilidata.
Mapenzi balaa japo pia siku hizi vijana wanacheza sana na kamati za mambo ya asili
Kivipi ...sijakuelewaMkuu maumivu ya mapenzi yana Umri hayana mwanamke wala mwanaume utofauti utakuja kwenye mapokeo
Ngumu mkuu,imagn yy anakir mwenyew kwamba amecheat na moyon hana aman,dawa ni kuachana nae tu japo ndo ivo natakiwa nijipe muda
Ndiyo mkuu, huu uzi unaruhusu niwe huku pia 😒Wewe tena na huku [emoji276]
Daah tupeane hizo mbinu maana napitia kipindi kama chakoNipo kweny huo mpito,kila nkijarbu kumsahau bdo ananijia akilin ila kwa alichofanya wala ctaki nirudiane nae tena cz nshajua mbinu mbadala za kumsahau