Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.

Daaah kuna watu mnalazmisha upweke,mimi niko tofauti wiki ni nyingi nasahau na kuhamia kwingine
 
Ukiachwa achika huko kutokukubaliana na matokeo ndicho kinachokuja kuwaumiza baadae!! Kwanini uwe king'ang'anizi kwa mtu ambae tayari ashaonesha kutokukupenda anymore??? Ukiachwa achika sheikh.
 
Kifuani mwako amejilaza, kichwani mwake akuona kilaza" Damn it
It Hurts believing mpo "on same page ,While in reality mwenzio yupo side ways"
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakukumbusha tu, kwenye mapenzi hakunaga ubusy, ukiona mtu anasingizia yupo busy jua hajakupenda. Na soon mtaachana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]safi
 
Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.

Katika ambacho haijawahi kunisumbua ni kuacha au kuachwa. Huwa ni kama kunipunguzia mzigo fulani kwangu hivyo nakuwa huru zaidi
 
Lucas mwashambwa hivi ushawahi kuachwa je ulimsifia kama unavyosifia hata uozo wa serikali hebu tupe experience yako mzee wa kusifia matope
 
kwa iyo miezi mitatu jamaaa akachapa na kuifinya kisawa sawa.
 
Mapenzi yatakutesa endapo utaendelea kuwa mwaminifu kwenye hayo mahusiano.
Make sure una mpenzi zaidi ya mmoja unless umeolewa, baki njia kuu.
 
Ila zinashangaza tukimisiana tunarudiana!! Aloo kweli tupo uchumi wa buluuu
 
Hahahahahahaha, Alooo nimecheka kinyama hapo mwishoni, hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…