Niliingia kwenye mahusiano nikiwa mdogo, kwa kifupi nilizama kwa jamaa, ghafla bin vuup, jamaa ananimwaga tena ananitema kavu kavu.
[emoji24][emoji24][emoji24] nusu watangaze coca ameanza uzezeta km sio undondocha.
Ashukuliwe kijana M, alikuja kwangu km ametumwa kwa lengo maalumu, alinibadilisha fikra, mtazamo, mawazo, na akanionesha uhalisia wa maisha ya mahusiano, akanijenga msimamo, na akafundisha maisha namna yalivyo.
Popote ulipo M, ubarikiwe zaidi na zaidi, natamani 1 day tuonane ili nikushukuru kwa yote ulioni tendea, bila wee Leo nisingekua mie na sio hapa nilipo.
....mapenzi ya kweli yapoo....