Breakup ya kwanza ilikuaje?

Breakup ya kwanza ilikuaje?

Sahivi mda wa kupenda ninao sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee siogopiii?
🤣🤣🤣🤣 Usipende hovyo bana waache wana wa israel wakupende na waumie wenyewe.!
 
Udugu em niache umenifanya nicheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mjukuu wa malkia ananipenda hajielewi ni mimi kubonyeza kitufe cha kukubali biashara iishe.!!
Sikufichi udugu, mbegu hizo zinataka matunzo bora.

Kuna mdada alidate na mzungu alikuja kwenye mambo ya makaa ya mawe, si akabeba mimba, mzungu akaondoka, mtoto kazaliwa afu wa kike, yaan had namuonea huruma, kafubaa, kachafukaa, yaan hata haelewekii.

Sasa si dhambii hiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliingia kwenye mahusiano nikiwa mdogo, kwa kifupi nilizama kwa jamaa, ghafla bin vuup, jamaa ananimwaga tena ananitema kavu kavu.

[emoji24][emoji24][emoji24] nusu watangaze coca ameanza uzezeta km sio undondocha.

Ashukuliwe kijana M, alikuja kwangu km ametumwa kwa lengo maalumu, alinibadilisha fikra, mtazamo, mawazo, na akanionesha uhalisia wa maisha ya mahusiano, akanijenga msimamo, na akafundisha maisha namna yalivyo.

Popote ulipo M, ubarikiwe zaidi na zaidi, natamani 1 day tuonane ili nikushukuru kwa yote ulioni tendea, bila wee Leo nisingekua mie na sio hapa nilipo.

....mapenzi ya kweli yapoo....
🤣 polesana so sad story, jamaa alikubwaga kama mchele ili kuku wakudonoe?🤣

Anyways ilipaswa upitie hayo kujijenga ktk tasnia ya mahusiano.
 
Sikufichi udugu, mbegu hizo zinataka matunzo bora.

Kuna mdada alidate na mzungu alikuja kwenye mambo ya makaa ya mawe, si akabeba mimba, mzungu akaondoka, mtoto kazaliwa afu wa kike, yaan had namuonea huruma, kafubaa, kachafukaa, yaan hata haelewekii.

Sasa si dhambii hiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 unanifanya nacheka mpk mbwa wanapiga kelele ujue!! Wanajua nimevamiwa ndani nini?? 😂😂😂

Hamna huyu nikimzaa anatunzwa vizuri hebu tulia baba yake sio km wamatumbi wanaotelekeza watoto bhana
 
Breakup iliyoiumiza ni ya mwka 2016,

Demu alinitumia text,

"Hebu na wewe niache"

Hii ni Baada ya kumcheki kwa siku 3 hapokei simu zangu. Nikamtext kujua tatzo nini.
Nikajibiwa hivyo.

Ilinitesa mpka nikawa ninajicheka mwenywe, but nilivuka.
 
Mazee si ajitokeze kijana mmoja ampe Lamomy heartbreak ya nguvu kiasi kwamba apungue kilo tano ndani ya siku mbili?
🤣🤣🤣 Mi master Shivo, Konki master, oil chafu..!! Hapa wao ndo watapata heartbreak mpk waone JF ya uchungu, watamani kukimbia had id zao ohhh..!!
 
🤣🤣🤣 Mi master Shivo, Konki master, oil chafu..!! Hapa wao ndo watapata heartbreak mpk waone JF ya uchungu, watamani kukimbia had id zao ohhh..!!
Ngoja tukuundie kamati. 😅😅😅😅
 
Mwaka jana mwishoni niliexperience hio kitu, asikwambie mtu. Acheni mapenzi yawe kitu chenye nguvu kubwa duniani. Mimi nimekua nikiona watu wanalizwa na mapenzi, ila niliwachukulia wanyonge wa hisia na kuwaona wajinga kulilia mtu mwingine. Nilikua nasema huku nikijihisi ushupavu kua kamwe sitofanya huo uzembe.

Nimedate na wasichana kibao, ila hata kama tukiachana si feel ile sense nimepoteza kitu, labda sikupenda nilitamani who knows? Ila kamwe sikuwahi kuumia. Nilisikitika for maybe 2 days hivi then imepita hio, harakat za kusaka mwingine zinaanza.

Ila huyu msichana, sjui tu... labda nafsi ziligongana. Wakuu, omba yasikukute, alaf mapenzi sjui yapoje? It comes when you least expect, and goes when you need it the most. Sijawahi pitia maumivu makali kiasi hiko. Sikuhizi hata nikiona mtu kadata kwenye mapenzi simshangai.

Miezi almost 2 naugulia maumivu makali, nilikonda ndani ya 2weeks[emoji1787]. Asee mda mwingi namuwaza yeye tu, na kwa vile nilitaka yaishe kabisa mm huwa sipendi kwenda back and forth, napenda uwazi kama mtu ataonesha tofauti napenda kwenda straight. Ila kwa huyu mtu nilikua kama zoba vile, yaani makosa afanye yeye mimi ndo wa kuomba samahani. Ilifika kipindi nikasema enough. Alikua na jeuri coz alijua nimeoza.

So kuna siku nikasema nakiwasha, akiwaka fresh maana am not a slave. Tukawakiana then ukawa ndo mwisho, nilifanya makusudi ili nijiengue kwenye hilo tanuri la moto ingawa nilijua fika kabisa itaniumiza for so long.. Guys, ile week ya pili 2 niliisha sana, nilipoteza maana ya maisha bcoz yeye pia alikua na sehemu kwenye maana hio.

Mawazo mtiririko kama mfereji wa maji yalipita endlessly kwenye ubongo wangu kutwa kucha kumuwaza yeye. Huyu msichana alinifanya nisilale masaa 8 kama mwanadamu wa kawaida. Msosi haupandi, nikakosa interest kwenye hobbies maana it was fun alipo kuwepo. Basically maisha yangu yakawa stagnant. Ikawa ni cycle ya kuamka, kwenda kazini, nikirudi ntazuga naangalia movie mpk macho yaume maana nikisema niende kulala tu, naanza kumwaza, hapohapo ntaanza kuumia moyo. So nilijiforce kuwa busy to mda uende siku iishe nianze cycle upya. Inshort skutaka tena mahusihano na mtu mwingine. Mpk hapo baadae nilipo pona hayo maumivu ya kumpoteza huyo mrembo. Ilinichukua almost miezi 2 ku heal na kuanza kukubaliana na hali, kuwa maybe hakuwa fungu langu. L
kadri siku zilivyo kua zinaenda ni kama mzigo flan ulikua unashuka emotionally.... duuh stori imekua ndefu nitaweka mwendelezo nikipata time,

Vp wewe, uliwezaje ku overcome first breakup? Kingine kuna watu hawajawhi kupenda kweli, wao wanatamani kama mm nilivyo kua mwanzo so hawana experience ya kupenda kweli, kuna tofauti kubwa hapo. Naomba hicho kigezo kizingatiwe kwenye comments.
Ukitamani ukiacha huwezi waza Kabisa ila ukipenda alafu ukaachwa maumivu yake ni makali asikwambie mtu

Yaa Kuna Manzil mmoja aliniacha roho iliuma ila baada ya 3 weeks nikawa nipo sawa nilikaza roho kweli

Nikamtumia Sms Asante Kwa pendo lako" theni nikaendelea na mishe zangu kama kawa mapenzi ni Kitu ambacho hatutakiwi kukipa kipaumbele sana Kwa mtu anayepambana na maisha kama ukweli unahitaji mpenzi kwanini usioe nenda hata vijijini ukaoe Kuna mabinti wazuri Tu

Mungu akijalia nitaanza safari niende nyumbani nikachukue jiko haya mambo ya kusumbuana na mabinti wa dar ni taabu kwelikweli

Mabinti wa dar wamekaa kibiashara sana kama poshy queen [emoji23]
 
Hakika mkuu, wengi wao maisha magumu, na ukizingatia dar ni mji wa starehe. Kama unajitafta ni kweli ukatafta mtu ambaye atazingatia juhudi zako. Kina poshy, kajala, diva, na hao wengineo wapo kimsrai zaidi watakupa upendo fake af mwisho wakuache solemba 🤣.
 
Back
Top Bottom