Breakup ya kwanza ilikuaje?

Breakup ya kwanza ilikuaje?

Mimi baada ya kuachwa na mwanamke wa pili tena ambaye tumefanya mengi halafu akasema hakuna anachojivunia aiseee lile pigo sitalisahau. Mpaka sasa naweza kuja kuoa ila itakua ngumu sana kumtendea mwanamke kama nilivyojimaliza mwanzo.
mkuu hiyo kauli ya huyo demu wako nimesoma karbu mara tatu na namimi niliambiwa hivyo na mtoto wa kichaga nilikuwa nimekufa nakuoza kwake sema mfukoni sikuwa njema nilitemwa mbaka Leo Bado namkumbuka naona wakulungwa wanamfaidi huko asaiv,..
 
Ghafla akaniambia via sms kuwa yuko lodge na ampendaye,nikadhani utani nikapiga simu akapokea afu akampa njemba ikaniambia "stop bothering my queen"afu na yeye akaniamba mazoea yafe,just ghafla tu na hatukuwa na tofaut,aisee nikaenda kumweleza rafik yangu,alisikitika sana maana nilikua mnyonge vibaya mno,ningezubaa ningekufa kwa mawazo na njaa,mazoez yakaanza kwa kasi,gym na mimi afu na hiphop hardcore nikamsahau yule manzi,tangu hapo sijawah kuwa na mwanamke mmoja japo nimeoa ila vya pembeni sikosi!
huyo demu hamjaonana tena
 
Mpashe kiporo kama shukrani sio.
Niliingia kwenye mahusiano nikiwa mdogo, kwa kifupi nilizama kwa jamaa, ghafla bin vuup, jamaa ananimwaga tena ananitema kavu kavu.

[emoji24][emoji24][emoji24] nusu watangaze coca ameanza uzezeta km sio undondocha.

Ashukuliwe kijana M, alikuja kwangu km ametumwa kwa lengo maalumu, alinibadilisha fikra, mtazamo, mawazo, na akanionesha uhalisia wa maisha ya mahusiano, akanijenga msimamo, na akafundisha maisha namna yalivyo.

Popote ulipo M, ubarikiwe zaidi na zaidi, natamani 1 day tuonane ili nikushukuru kwa yote ulioni tendea, bila wee Leo nisingekua mie na sio hapa nilipo.

....mapenzi ya kweli yapoo....
 
Dah nipeni maji kwanza ninywee ili nipate walahu nguvu ya kusimulia lol.
Kwa ufupi tu...!
Kwanza ilikua ghafla, Nilijipata na anxiety [emoji22] nilinyoa nywele zangu.Nikaomba likizo ya mda job..nikabeba vyeti,passport na nguo chache huyoo nikahama nchi kwa mda.To be continued [emoji41]
Hii kali, kwann ulinyoa nywele? Na kwann ulihama nchi?
Continuation please!
 
huyo demu hamjaonana tena
nilikutana nae arusha 2yrs after,by then kumbe hata hawakudumu jamaa alikua playboy akamla na kum~dump,nikampa lunch ya nguvu then cowboy wa kisukuma nikateleza mbele,alimwambia rafik yangu huwa anajuta kwan alinidhulum penzi,since then hatujawahi kutana wala kuongea zaid huwa ananiulizia pitia washikaji!
 
Bichwa lako gumu kuelewa unanichosha, naona unaendekeza hisia kuliko akili zako..!!
Endelea kuteswa na mapenzi na usikubali mpk yakuue 😏
Nimenawa mikono. 🙌
 
mkuu hiyo kauli ya huyo demu wako nimesoma karbu mara tatu na namimi niliambiwa hivyo na mtoto wa kichaga nilikuwa nimekufa nakuoza kwake sema mfukoni sikuwa njema nilitemwa mbaka Leo Bado namkumbuka naona wakulungwa wanamfaidi huko asaiv,..
Na yeye pia alikua mchaga sema jambo naloshukuru siku aloyoniacha ndo siku ambayo nilipata kazi yenye uhafadhali angalau maisha si kama yale.
 
mkuu hiyo kauli ya huyo demu wako nimesoma karbu mara tatu na namimi niliambiwa hivyo na mtoto wa kichaga nilikuwa nimekufa nakuoza kwake sema mfukoni sikuwa njema nilitemwa mbaka Leo Bado namkumbuka naona wakulungwa wanamfaidi huko asaiv,..
Pole man.
 
Dada yangu mmoja alikuwa na jamaa yake tangu form 2 . Kufika chuo masters akamtambulisha kwa wazee wakamkubali. Ikapangwa mipango harus ikaandaliwa. Mwez mmoja kabla Dada akamwambia mzee wake ameghairi kuolewa na jamaa. Mzee pressure ikapnda akamfukuza home. Bint kampata mshikaji wake katoka marekan kusoma. Kamwacha jamaa bonge ya mshikaji. Mshikaji ilibid ndugu zake wampeleke cjui wapi apunzishe akili then sister katafuta watu mjin hapa ndoa ikafungwa hakuna aliyehudhuria isipokuwa mimi kwa kumuonea huruma ila kilichompata ni Mungu anajua. Sema baba yake kama alijua akaacha nyumba moja akasema mtu flan huko aliko life likimshinda nyumba yake hii. Na yule mzee alikuja kufa baada ya mwaka.
 
Wanawake[emoji119]
 
Ukweli mkuu

Hakuna aliye salama kwenye mapenzi
Hakuna ambaye mapenzi hayajamnyoosha/hayatamnyoosha
Wengine wanasema na wengine wanaugulia kimya kimya....
Kuna idadi kubwa ya watu (wanaume kwa wanawake) waliobadilishwa na mapenzi na wakawa watu wa ajabu sana....

Unaweza ukaona mtoto wa mtu anakutesa ukajua wewe una shida kumbe kakuweka kwenye viatu vya mtangulizi wako aliyezingua....

Ukimchukua pia mwanamke bikra asiyejua nini maana ya maumivu...
Anaweza akakufumania akakata moto ukabaki na kesi na kulea watoto.
 
Demu yeyote aliyeniacha kwa nyodo nilihakikisha namla halaf ndo nampotezea mazima
 
[emoji1787] polesana so sad story, jamaa alikubwaga kama mchele ili kuku wakudonoe?[emoji1787]

Anyways ilipaswa upitie hayo kujijenga ktk tasnia ya mahusiano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan acha kabisaaa,
Kwakweli ilibidi iwe hivyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unanifanya nacheka mpk mbwa wanapiga kelele ujue!! Wanajua nimevamiwa ndani nini?? [emoji23][emoji23][emoji23]

Hamna huyu nikimzaa anatunzwa vizuri hebu tulia baba yake sio km wamatumbi wanaotelekeza watoto bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jichanganye hvyo hivyo. Kitakukuta kitu.
Woiiiiiih
 
Oya ntakuzingua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mi sijawahi kupigwa tukio mwanangu, hayo mambo siyapi kipaumbele..!!
Mimi ukisema it’s over fresh pita kushoto nipite kulia. Kitu kinanipea stress MONEY [emoji383]peke yake!!
Hawa viumbe waliojaa mpk wengine wanaamua kuwa mashoga hawaniumizi kichwa bob [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu.
 
Back
Top Bottom