Breakup ya kwanza ilikuaje?

Breakup ya kwanza ilikuaje?

😜 umenipa ushindi wa mezani?? Mi siutaki 😂😂😂
Nyie watoto wa elfu mbili unazani kuna msiyo yajua basi😁, nyie mnajaribu kila kitu mpaka siye wazee wenu, zambi na matukio tumeyasikia kwenu🤣🤣, una idadi ya mahusiano kuliko siye tulio zaliwa miaka 50+ , sasa nitakuelekeza nini 🙌🏻 , MSHINDI WEWE BINTI YANGU
 
😂😂😂 ww mimi mzee mwenzio, ila hao watoto wa afu mbili ni nyie ndo mnawaharibu wazee..!! Wao hawawezi kujifundisha wenyewe nyie ndo makonki na ma master wenyewe
 
😂😂😂 ww mimi mzee mwenzio, ila hao watoto wa afu mbili ni nyie ndo mnawaharibu wazee..!! Wao hawawezi kujifundisha wenyewe nyie ndo makonki na ma master wenyewe
labda, kwa sababu hata wahuni huzeeka, ila kwa siye tulikulia vijijini huku kulipokuwa na mila na tamaduni, husubutu kufanya hayo , ukonki utatoka wapi na mke tulichaguliwa!🤣🤣, Lakini wazee wa bandari wa huko darisalama ndo watakuwa labda wanatuharibia binti zetu😣
 
Tatizo kuna watu hawajui kucontrol hisia, hisia lazma uzi face sio kuzi deny. Unapozifaace ndipo unakua umezicontontrol no wonder tunaona wanaume wengi wameharibika na mapombe, sigara, wanafakamia malaya, mwisho wanaishia kuharibu afya zao na kupata magonjwa.

Ww endelea kunywa supu🤣🤣
fact
 
labda, kwa sababu hata wahuni huzeeka, ila kwa siye tulikulia vijijini huku kulipokuwa na mila na tamaduni, husubutu kufanya hayo , ukonki utatoka wapi na mke tulichaguliwa!🤣🤣, Lakini wazee wa bandari wa huko darisalama ndo watakuwa labda wanatuharibia binti zetu😣
😜 ulichaguliwa mke?? Hebu niambie ilikuwaje? Ulimfurahia mke uliyechaguliwa?
 
Dada yangu mmoja alikuwa na jamaa yake tangu form 2 . Kufika chuo masters akamtambulisha kwa wazee wakamkubali. Ikapangwa mipango harus ikaandaliwa. Mwez mmoja kabla Dada akamwambia mzee wake ameghairi kuolewa na jamaa. Mzee pressure ikapnda akamfukuza home. Bint kampata mshikaji wake katoka marekan kusoma. Kamwacha jamaa bonge ya mshikaji. Mshikaji ilibid ndugu zake wampeleke cjui wapi apunzishe akili then sister katafuta watu mjin hapa ndoa ikafungwa hakuna aliyehudhuria isipokuwa mimi kwa kumuonea huruma ila kilichompata ni Mungu anajua. Sema baba yake kama alijua akaacha nyumba moja akasema mtu flan huko aliko life likimshinda nyumba yake hii. Na yule mzee alikuja kufa baada ya m

Dada yangu mmoja alikuwa na jamaa yake tangu form 2 . Kufika chuo masters akamtambulisha kwa wazee wakamkubali. Ikapangwa mipango harus ikaandaliwa. Mwez mmoja kabla Dada akamwambia mzee wake ameghairi kuolewa na jamaa. Mzee pressure ikapnda akamfukuza home. Bint kampata mshikaji wake katoka marekan kusoma. Kamwacha jamaa bonge ya mshikaji. Mshikaji ilibid ndugu zake wampeleke cjui wapi apunzishe akili then sister katafuta watu mjin hapa ndoa ikafungwa hakuna aliyehudhuria isipokuwa mimi kwa kumuonea huruma ila kilichompata ni Mungu anajua. Sema baba yake kama alijua akaacha nyumba moja akasema mtu flan huko aliko life likimshinda nyumba yake hii. Na yule mzee alikuja kufa baada ya mwaka.
Hicho alichokutana nacho ndo darasa lenyewe...tujuze mkuu tujifunze
 
Mwaka jana mwishoni niliexperience hio kitu, asikwambie mtu. Acheni mapenzi yawe kitu chenye nguvu kubwa duniani. Mimi nimekua nikiona watu wanalizwa na mapenzi, ila niliwachukulia wanyonge wa hisia na kuwaona wajinga kulilia mtu mwingine. Nilikua nasema huku nikijihisi ushupavu kua kamwe sitofanya huo uzembe.

Nimedate na wasichana kibao, ila hata kama tukiachana si feel ile sense nimepoteza kitu, labda sikupenda nilitamani who knows? Ila kamwe sikuwahi kuumia. Nilisikitika for maybe 2 days hivi then imepita hio, harakat za kusaka mwingine zinaanza.

Ila huyu msichana, sjui tu... labda nafsi ziligongana. Wakuu, omba yasikukute, alaf mapenzi sjui yapoje? It comes when you least expect, and goes when you need it the most. Sijawahi pitia maumivu makali kiasi hiko. Sikuhizi hata nikiona mtu kadata kwenye mapenzi simshangai.

Miezi almost 2 naugulia maumivu makali, nilikonda ndani ya 2weeks🤣. Asee mda mwingi namuwaza yeye tu, na kwa vile nilitaka yaishe kabisa mm huwa sipendi kwenda back and forth, napenda uwazi kama mtu ataonesha tofauti napenda kwenda straight. Ila kwa huyu mtu nilikua kama zoba vile, yaani makosa afanye yeye mimi ndo wa kuomba samahani. Ilifika kipindi nikasema enough. Alikua na jeuri coz alijua nimeoza.

So kuna siku nikasema nakiwasha, akiwaka fresh maana am not a slave. Tukawakiana then ukawa ndo mwisho, nilifanya makusudi ili nijiengue kwenye hilo tanuri la moto ingawa nilijua fika kabisa itaniumiza for so long.. Guys, ile week ya pili 2 niliisha sana, nilipoteza maana ya maisha bcoz yeye pia alikua na sehemu kwenye maana hio.

Mawazo mtiririko kama mfereji wa maji yalipita endlessly kwenye ubongo wangu kutwa kucha kumuwaza yeye. Huyu msichana alinifanya nisilale masaa 8 kama mwanadamu wa kawaida. Msosi haupandi, nikakosa interest kwenye hobbies maana it was fun alipo kuwepo. Basically maisha yangu yakawa stagnant. Ikawa ni cycle ya kuamka, kwenda kazini, nikirudi ntazuga naangalia movie mpk macho yaume maana nikisema niende kulala tu, naanza kumwaza, hapohapo ntaanza kuumia moyo. So nilijiforce kuwa busy to mda uende siku iishe nianze cycle upya. Inshort skutaka tena mahusihano na mtu mwingine. Mpk hapo baadae nilipo pona hayo maumivu ya kumpoteza huyo mrembo. Ilinichukua almost miezi 2 ku heal na kuanza kukubaliana na hali, kuwa maybe hakuwa fungu langu. L
kadri siku zilivyo kua zinaenda ni kama mzigo flan ulikua unashuka emotionally.... duuh stori imekua ndefu nitaweka mwendelezo nikipata time,

Vp wewe, uliwezaje ku overcome first breakup? Kingine kuna watu hawajawhi kupenda kweli, wao wanatamani kama mm nilivyo kua mwanzo so hawana experience ya kupenda kweli, kuna tofauti kubwa hapo. Naomba hicho kigezo kizingatiwe kwenye comments.
Hamna mtu anaetamani, wote tunapenda sema tunatofautiana kuna mwingine utakuta anapenda ila akishaonja tu anaona hapa hakuna issue anapotezea

Sasa wewe mara moja tu unalialia pata picha watoto wa kike ambao utakuta anampenda mtu mazima halafu anatoswa, wanaeake wanapitia mengi sana imagine kupata heartbreak kama sita hivi konki na bado anapenda!!! Hakika wanastahili kuitwa superwomen

Kwa upande wangu, yalinikuta pia nilikuwa mtu wa Hiphop ngumu lqkini kwa mara ya kwanza nilianza kusikiliza Bongofleva maana zile nyimbo ndio zilikuwa zinanifariji sana

Lakini funzo nililopata sitathubutu kuchezea moyo wa mtu na hata nikitaka kumuacha mtu, sifanyi ile ghafla bin vuu napunguza mazoea mpaka mwisho

Ila hapo mwanzo ulikuwa ni ukatili wa hali ya juu, yaani mtu unamuacha kwa meseji moja tu!! , au anakuja geto unaishi halafu baada ya hapo unamwambia mimi na wewe basi😭😭😂
 
2012. July, 25

Majira ya saa 4 hivi asubuhi, nikaandikiwa text naambiwa mimi na wewe tumeachana. Ilikuwa ni kama mzaha tu, nilibembeleza mno hadi kumuelezea sister wake wapiii!. Niliteseka kwa miaka miwili nikapona. Ulikuwa ni wakati mgumu mno sijawahi pitia na sitowahi pitia maishani mwangu. Nilikuja kufahamu baadae kilichosababisha ikawa hivyo, nilishukuru kwa kunipitisha kwenye tanuru lile qmamae.
 
Ukweli mkuu

Hakuna aliye salama kwenye mapenzi
Hakuna ambaye mapenzi hayajamnyoosha/hayatamnyoosha
Wengine wanasema na wengine wanaugulia kimya kimya....
Kuna idadi kubwa ya watu (wanaume kwa wanawake) waliobadilishwa na mapenzi na wakawa watu wa ajabu sana....

Unaweza ukaona mtoto wa mtu anakutesa ukajua wewe una shida kumbe kakuweka kwenye viatu vya mtangulizi wako aliyezingua....

Ukimchukua pia mwanamke bikra asiyejua nini maana ya maumivu...
Anaweza akakufumania akakata moto ukabaki na kesi na kulea watoto.
Hakika mkuu, mapenzi hayakawahi acha mtu salama,
Watu wanajaribu kuficha maumivu, na kujifanya wagumu huku wakibeba kumbukumbu za maumivu na kutesa wengine wasio na hatia..

Ndo maana mapenzi na mahusiano ya kweli kuvipata ni ngumu sana sku hizi.. either wanaume au wanawake wanapaswa kujifunza na kukubali matokeo, kujifunza na kuwa bora katika mahusiano yajayo..
 
Hamna mtu anaetamani, wote tunapenda sema tunatofautiana kuna mwingine utakuta anapenda ila akishaonja tu anaona hapa hakuna issue anapotezea

Sasa wewe mara moja tu unalialia pata picha watoto wa kike ambao utakuta anampenda mtu mazima halafu anatoswa, wanaeake wanapitia mengi sana imagine kupata heartbreak kama sita hivi konki na bado anapenda!!! Hakika wanastahili kuitwa superwomen

Kwa upande wangu, yalinikuta pia nilikuwa mtu wa Hiphop ngumu lqkini kwa mara ya kwanza nilianza kusikiliza Bongofleva maana zile nyimbo ndio zilikuwa zinanifariji sana

Lakini funzo nililopata sitathubutu kuchezea moyo wa mtu na hata nikitaka kumuacha mtu, sifanyi ile ghafla bin vuu napunguza mazoea mpaka mwisho

Ila hapo mwanzo ulikuwa ni ukatili wa hali ya juu, yaani mtu unamuacha kwa meseji moja tu!! , au anakuja geto unaishi halafu baada ya hapo unamwambia mimi na wewe basi😭😭😂
Hakika mkuu, ndo kukua huko.
 
2012. July, 25

Majira ya saa 4 hivi asubuhi, nikaandikiwa text naambiwa mimi na wewe tumeachana. Ilikuwa ni kama mzaha tu, nilibembeleza mno hadi kumuelezea sister wake wapiii!. Niliteseka kwa miaka miwili nikapona. Ulikuwa ni wakati mgumu mno sijawahi pitia na sitowahi pitia maishani mwangu. Nilikuja kufahamu baadae kilichosababisha ikawa hivyo, nilishukuru kwa kunipitisha kwenye tanuru lile qmamae.
Maumivu makali sana, hayo mkuu. Ila ukipona unapata ujasiri na uelewa wa hisia kama hizo zisikusumbe tena.
 
Lakini na wewe unampenda?? Mimi nna nyanya yangu mpk leo anawamind kwa kumpa mwanaume ambaye hajampenda..!!
Lakini si alikuwa sahihi kwake?, bora hilo kuliko nyie vijana mnachagua kwa kuokotana halafu mnaenda ishia kuuwana huko!!
 
Lakini si alikuwa sahihi kwake?, bora hilo kuliko nyie vijana mnachagua kwa kuokotana halafu mnaenda ishia kuuwana huko!!
Ni bora kuliko wa kuchaguliwa unamuona km unaishi na gaidi, ujue bibi yangu alikuwa anajikojolea makusudi sababu mwanaume wa kupewa akawa anajifanya eti yy bado mdogo 🤣🤣🤣🤣
Na babu akawa anafua mashuka ya mikojo na akawa anamuamsha lkn bibi akawa anaendelea kukojoa makusudi.!!
 
Pamoja na hayo bora kafua mikojo lakini aliendelea kupumua(hajafa) ila nyie wa miaka hii kukojoa hamkojoi ila mnawahishana kwa muumba🤣🙌🏻
 
Back
Top Bottom