Breakup ya kwanza ilikuaje?

😜 umenipa ushindi wa mezani?? Mi siutaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie watoto wa elfu mbili unazani kuna msiyo yajua basi😁, nyie mnajaribu kila kitu mpaka siye wazee wenu, zambi na matukio tumeyasikia kwenu🀣🀣, una idadi ya mahusiano kuliko siye tulio zaliwa miaka 50+ , sasa nitakuelekeza nini πŸ™ŒπŸ» , MSHINDI WEWE BINTI YANGU
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww mimi mzee mwenzio, ila hao watoto wa afu mbili ni nyie ndo mnawaharibu wazee..!! Wao hawawezi kujifundisha wenyewe nyie ndo makonki na ma master wenyewe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww mimi mzee mwenzio, ila hao watoto wa afu mbili ni nyie ndo mnawaharibu wazee..!! Wao hawawezi kujifundisha wenyewe nyie ndo makonki na ma master wenyewe
labda, kwa sababu hata wahuni huzeeka, ila kwa siye tulikulia vijijini huku kulipokuwa na mila na tamaduni, husubutu kufanya hayo , ukonki utatoka wapi na mke tulichaguliwa!🀣🀣, Lakini wazee wa bandari wa huko darisalama ndo watakuwa labda wanatuharibia binti zetu😣
 
fact
 
😜 ulichaguliwa mke?? Hebu niambie ilikuwaje? Ulimfurahia mke uliyechaguliwa?
 

Hicho alichokutana nacho ndo darasa lenyewe...tujuze mkuu tujifunze
 
Hamna mtu anaetamani, wote tunapenda sema tunatofautiana kuna mwingine utakuta anapenda ila akishaonja tu anaona hapa hakuna issue anapotezea

Sasa wewe mara moja tu unalialia pata picha watoto wa kike ambao utakuta anampenda mtu mazima halafu anatoswa, wanaeake wanapitia mengi sana imagine kupata heartbreak kama sita hivi konki na bado anapenda!!! Hakika wanastahili kuitwa superwomen

Kwa upande wangu, yalinikuta pia nilikuwa mtu wa Hiphop ngumu lqkini kwa mara ya kwanza nilianza kusikiliza Bongofleva maana zile nyimbo ndio zilikuwa zinanifariji sana

Lakini funzo nililopata sitathubutu kuchezea moyo wa mtu na hata nikitaka kumuacha mtu, sifanyi ile ghafla bin vuu napunguza mazoea mpaka mwisho

Ila hapo mwanzo ulikuwa ni ukatili wa hali ya juu, yaani mtu unamuacha kwa meseji moja tu!! , au anakuja geto unaishi halafu baada ya hapo unamwambia mimi na wewe basiπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜‚
 
2012. July, 25

Majira ya saa 4 hivi asubuhi, nikaandikiwa text naambiwa mimi na wewe tumeachana. Ilikuwa ni kama mzaha tu, nilibembeleza mno hadi kumuelezea sister wake wapiii!. Niliteseka kwa miaka miwili nikapona. Ulikuwa ni wakati mgumu mno sijawahi pitia na sitowahi pitia maishani mwangu. Nilikuja kufahamu baadae kilichosababisha ikawa hivyo, nilishukuru kwa kunipitisha kwenye tanuru lile qmamae.
 
Hakika mkuu, mapenzi hayakawahi acha mtu salama,
Watu wanajaribu kuficha maumivu, na kujifanya wagumu huku wakibeba kumbukumbu za maumivu na kutesa wengine wasio na hatia..

Ndo maana mapenzi na mahusiano ya kweli kuvipata ni ngumu sana sku hizi.. either wanaume au wanawake wanapaswa kujifunza na kukubali matokeo, kujifunza na kuwa bora katika mahusiano yajayo..
 
Hakika mkuu, ndo kukua huko.
 
Maumivu makali sana, hayo mkuu. Ila ukipona unapata ujasiri na uelewa wa hisia kama hizo zisikusumbe tena.
 
Lakini na wewe unampenda?? Mimi nna nyanya yangu mpk leo anawamind kwa kumpa mwanaume ambaye hajampenda..!!
Lakini si alikuwa sahihi kwake?, bora hilo kuliko nyie vijana mnachagua kwa kuokotana halafu mnaenda ishia kuuwana huko!!
 
Lakini si alikuwa sahihi kwake?, bora hilo kuliko nyie vijana mnachagua kwa kuokotana halafu mnaenda ishia kuuwana huko!!
Ni bora kuliko wa kuchaguliwa unamuona km unaishi na gaidi, ujue bibi yangu alikuwa anajikojolea makusudi sababu mwanaume wa kupewa akawa anajifanya eti yy bado mdogo 🀣🀣🀣🀣
Na babu akawa anafua mashuka ya mikojo na akawa anamuamsha lkn bibi akawa anaendelea kukojoa makusudi.!!
 
Pamoja na hayo bora kafua mikojo lakini aliendelea kupumua(hajafa) ila nyie wa miaka hii kukojoa hamkojoi ila mnawahishana kwa muumbaπŸ€£πŸ™ŒπŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…