Breakup ya kwanza ilikuaje?

Breakup ya kwanza ilikuaje?

Poleni sana wanaume kumbe ndo mnavyoumiaga hivi?? 🤣🤣🤣🤣🤣

Hebu atokee mwana wa Israel mmoja anikoseshe amani, nilie nihuzunike nishindwe kula. Tatizo mimi msg za mapenzi nazisoma kwa herufi kubwa ndiomana hata mtu akisema tuachane hainiumizi..!! Namwambia kwenda mwana kwenda 😂😂😂😂
 
Mm nlikuwa mgeni kwe industry ila yy alishakua mkongwe huko, yule kenge acha tu...Kuna namna nlisota🤣Kuna namna nahis kama naumwa afu sijui panauma wapi
🤣🤣🤣🤣🤣 Pole sana, tatizo ulikutana na master shivo
 
A lot of abnormal activities
1. Kushika kwanja kufyeka majan hata nyakati za usiku
2 kuswali swala ya alfajiri msikitin na haikuwa kawaida yangu
3 kuanza kusoma madrassa na kumrudia mungu kwa fujo
4 Kuwa motivational speaker wa mitandaoni 😀😀
MAPENZI KONYO SANA
Dj naomba nipigie Kuachwa ya Khalid Chokoraa. usifanye kichi kichi hadi mwisho
 
Poleni sana wanaume kumbe ndo mnavyoumiaga hivi?? 🤣🤣🤣🤣🤣

Hebu atokee mwana wa Israel mmoja anikoseshe amani, nilie nihuzunike nishindwe kula. Tatizo mimi msg za mapenzi nazisoma kwa herufi kubwa ndiomana hata mtu akisema tuachane hainiumizi..!! Namwambia kwenda mwana kwenda 😂😂😂😂
🤣🤣🤣 ipo siku utalia na kusaza meno
 
A lot of abnormal activities
1. Kushika kwanja kufyeka majan hata nyakati za usiku
2 kuswali swala ya alfajiri msikitin na haikuwa kawaida yangu
3 kuanza kusoma madrassa na kumrudia mungu kwa fujo
4 Kuwa motivational speaker wa mitandaoni 😀😀
MAPENZI KONYO SANA
Dj naomba nipigie Kuachwa ya Kahlid Chokoraa.
🤣🤣
 
Siwez kusahau ile the situation mpaka leo hiyo siku nilipiga simu kuanzia morning mpaka usiku saa sita i was know atakuwa hostel simu ilipokelewa na niliskuskia sauti za mahaba za mwanamke wangu akisema f*ck me hard babe tamu unajua kutamba vizuri na akiendelea kulia akisema taratb naumia alimtaja mpk jina mwana.

Sikutaka kuamini kama ni yeye na nilijua sauti ni yake ila moyo unasem si yeye huyo itakuwa it just a video kuna mtu anagaalia then simu ilepokelewa bahati mbaya na ndo the way the next day alivyoniambia na nikamuelewa na kumsamehe nilikuwa kama fala [emoji23][emoji23]

Ila mapenzi hufa baada ya upendo kuishia ila sio kwa kucheatiana. Niliamua kumuacha kimya kimya na nilivunja laini mazima na kuanza maisha mapya. [emoji28]
 
Mwaka jana mwezi wa 07 niliumia kinoma ila nilikubaliana na hali , nikamueleza asiwahi kunitafuta tena jina langu aliweke kwenye list la majina ya watu wake aliofahamiana nao na wakafa kwamba hataniona tena, na yeye nikamwambia asinitafute hata iweje.

Baada ya hapo nilifuta namba yake ya simu na kumbukumbu zote lakini haikusaidia ndani ya miezi mitatu mbele bado niliendelea kupata maumivu kilicho nisadia sikuwahi kukariri namba yake na kwenye simu niliifuta kwahiyo ilinisaidia kuendelea kuwa mbali nae.

Sasa hivi nimeshamsahau mwaka jana mwezi wa 12 alinitumia meseji ya kunitakia heri ya kuzaliwa sikujibu, mwaka mpya akanitumia meseji sikujibu , mwezi mmoja uliopita alinitumia meseji ya kunitakia ramadhan njema sikujibu pia meseji zikiingia nazifuta na namba yake hapohapo.
 
Siwez kusahau ile the situation mpaka leo hiyo siku nilipiga simu kuanzia morning mpaka usiku saa sita i was know atakuwa hostel simu ilipokelewa na niliskuskia sauti za mahaba za mwanamke wangu akisema JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala me hard babe tamu unajua kutamba vizuri na akiendelea kulia akisema taratb naumia alimtaja mpk jina mwana.

Sikutaka kuamini kama ni yeye na nilijua sauti ni yake ila moyo unasem si yeye huyo itakuwa it just a video kuna mtu anagaalia then simu ilepokelewa bahati mbaya na do the way the next day alivyoniambia na nikamuelewa na kumsamehe nilikuwa kama fala [emoji23][emoji23]

Ila mapenzi hufa baada ya upendo kuishia ila sio kwa kucheatiana. Niliamua kumuacha kimya kimya na nilivunja laini mazima na kuanza maisha mapya. [emoji28]
Umevunja had line kwasababu ya binadamu mwenzio?? 🤣🤣🤣🤣
 
Sikumbuki kama niliwahi kuumia, nahisi tatizo nilianza umalaya nikiwa mdogo, yaani kwa wakati mmoja nina mademu wa3 mpaka 7 na bado nafukuzia wengine.
Hakuna kitu kinaitwa break up kilinisumbua, wakati nabwagana na huyu, naenjoy na yule, na nilikuwa sungura nikiona dalili mie ndio naanza kubwaga aidha kwa kusema au ukimya, hapo tayari mapenzi nishahamishia jimbo jingine.

Nilipokuwa nimeach umalaya sasa ndio kuna baadhi ya watu nawakumbuka na karoho kakujilaumu kanakuja.
Mtu pekee niliumia ni alikutwa na mauti huyu ndio ilinichukua karibia mwaka namkumbuka yeye, pamoja na kujitibu koote, lakini hakuwahi kunitoka kirahisi, nilitumia kila njia lakini wapi,

Apumzike kwa amani kipenzi changu😭
 
Back
Top Bottom