Breakup ya kwanza ilikuaje?

Breakup ya kwanza ilikuaje?

Mimi ilinikuta 26 July 2022 na ilinichukua miez 8 walau kufanya mambo mengine Kwa ufanisi...Alinambia sijawahi kumfanyia chochote cha kumfanya anikumbuke.

Pamoja na yote hayo siku niliyo sema am free soul now alianza kunitafutatafuta ovyo ovyo lakini sikuwa namshobokea hata Kwa theluthi..

Now nimekuwa matured kiasi demu anaweza taka tuachane na isiniume hata kidogo nimekuwa mtu hatari sana naweza kumuacha mwanamke pale tu akifanya dharau yoyote Ile kwangu na nikagundua hii ni dharau

Ni vizuri vitu hivi vikikukuta ukiwa kijana utakuwa Carnivore mapema sana [emoji1787]
 
Za ujenzi wa taifa 😜

Mimi ukinitumia msg “ baby i love you 🥰” naisoma kwa dharau na kwa herufi kubwa tena kwa kisukuma “BEBI HAI LAVU YUHU👹” basi wala sikutilii maanani sasa hata ukiniacha ntaumia vipi??

Wewe kuanzia ss hivi anza kusoma msg kwa mtindo huo uone km utasumbuka kupenda hovyo 😂😂😂😂😂
Tatizo unasoma kwa hisia na kwa sauti ya mtumaji kwann mapenzi yasikutese??
Hiyo ilikua zilipendwa, siku hizi nna fake ID na fake love 😂
 
Love ipo ila sijui ni kwanini ukiwa tayari kwa mtu fulani na ukamuonesha ule upendo wenyewe yeye anakuona fala hasa nyie wanawake.
Ndio punguza kupenda mtu hovyo anza kujipenda mwenyewe, mahusiano yasiyo na afya achana nayo utakufa na presha
 
Back
Top Bottom